Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

Na kweli nyonga zishakaza nawezajikuta natenguka, kiuno kikatundikwe MOI
Potelea mbali acha nijifunze tu

Utaweza ila itakubidi uweke juhudi maarifa na muda mwingi zaidi. Zaidi ya yote, kama ni kitu unapenda, utafanikiwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…