Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Tunafanya kwa siri kubwa sana. ATUGANILE akiwa kazini mi huwa narudi home mida ya saa 3 asubuhi Tunafanya yetu mpaka saa 6 hv narudi job. Dada anakata mauno sijapata kuona. Kiukweli nilikuwa kwenye giza la mapenzi. Sasa natafuna kitu cha motoooo, taitiiii maziwa madogooo. Kiukweli nimepata suluhisho la kudumu. Tena kwa bei cheee.
 
Sawa ila umeshawaza endapo ikitokea akapata mimba itakuwaje? Wewe na huyo tukunyema wako mtaendelea kuwepo tena mtaombana msamaha maisha yaendelee. Kwa upande wa huyo dada ataishi vipi? Mi namuonea huruma yeye. Sasaiv anaweza kuwa anaona sawa tu anachofanya ila ikitokea la kutokea hakuna rangi ataacha ona.
 
sijui nani siri sirini hakuna atakayeshtukia
Kama unachokisema ni kweli basi huyo mwanamke umemchoka sana ni bora umuache tu aende kwa taraka maana ipo siku utajikuta kwenye matatizo makubwa ukiendelea kumkumbatia wakati humpendi
 
..Duuh unaumia sana Mkuu,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…