M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Tunafanya kwa siri kubwa sana. ATUGANILE akiwa kazini mi huwa narudi home mida ya saa 3 asubuhi Tunafanya yetu mpaka saa 6 hv narudi job. Dada anakata mauno sijapata kuona. Kiukweli nilikuwa kwenye giza la mapenzi. Sasa natafuna kitu cha motoooo, taitiiii maziwa madogooo. Kiukweli nimepata suluhisho la kudumu. Tena kwa bei cheee.Kaka usiharibu maisha ya huyo huose girl tafadhali. Ikitokea akapata mimba bahati mbaya hapo sijui atakuwa mgeni wa nani maana wewe na mkeo mtamfukuza matokeo yake atarudi kijiji kwao kwenda kuongeza umasikini. Utampa maisha ya shida sana. Bora utafute mwanamke yoyote huko kwenye mishe zako kuliko kuharibu maisha ya huyo dada. Huyo mkeo alivo kisirani anaweza hata mkata kichwa. Tafadhali usiahatarishe maisha yake.