Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

"Women don't want to hear what you think. Women want to hear what they think -in a deeper voice" - Bill Cosby.
 
Hahahaha umenena vyema sana mkuu,ila apa mwishoni kunasana vibao mbona kama unakosa uvumilivu[emoji23]
 
Nashukuru kwakua umekiri wazi..... Hawaeleweki kwakweli.....na ni dhambi kusifia uongo...et umsifie mama mkwe ni mkarimu wakati siyo.....ndoa ni kuvumiliana na kuchukuliana bwana..kinyume na hapo hakuna amani wala upendo...Kristo na ukamilifu wake wote bdo alikosana na watu,,,,itakua sisi wanadamu tuliojaa kila aina ya mapungufu....hasa wanawake wa sasa hv hawa.......mmmmh...ukipata ndoa ya namna hyo omba kufa kabla shetani hajakuwahi kukutia dhambini
 
Kweli umemchukia nadhani hilo tako ndio ulilompendea ukasahau mwanamke ni tabia na si tako.. Pole huo ni msalaba wako jaribu kuubeba kwanza. Ila umeshajiuliza why kisirani? Lazima kuna sababu jaribu kuitafuta
Kusema ukweli sababu za ugomvi wanawake huwa wanazjua wenyewe.....maana utamfanyia kila kitu, utawapenda ndugu zake lkn at the end unachukiwa bure....Mungu atusaidie juu ya watu hawa aliotupa watusaidie
 
Lazima kuna sababu mwanamke hawezi kukuchukia bila sababu unaweza penda ndugu zake Na kumpa kila kitu ila akianza kujua unachepuka jua tu utaishi Na shetani unless awe ni mcha Mungu
 
Kuchepuka huko kunajulikana tu,,,hata mhusika ukiwa na tabia hyo hata ukichukiwa huwez kulamika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…