Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

"Women don't want to hear what you think. Women want to hear what they think -in a deeper voice" - Bill Cosby.
 
Hahahaha umenena vyema sana mkuu,ila apa mwishoni kunasana vibao mbona kama unakosa uvumilivu[emoji23]
 
Hi members,
Leo nitajaribu kueleza na kufafanua namna ya kuishi na mwanamke katika ndoa bila mzozo na mikwaruzo.
.
.
.
Hii ni kutoka na experience yangu binafsi katika ndoa pamoja na utafiti wangu kayika jambo husika nikishirikisha watu mbalimbali wa rika tofauti walio katika ndoa
.
.
.
Hii inahusu walio katika ndoa kwa maana ya wanaoishi pamoja kama familia.(sio lazima wawe wamefunga ndoa za kanisani ama misikitini).Maana kwa tafsiri yangu mm kuishi pamoja tayr ni ndoa hayo mengine ni mbwembwe.
.
.
Haya twende kazi.
.
.
1.kua makini na kauli zako ukiwa katika mazungumz😵nyesha kumthamini kwa jinsi alivyo.Mpe umuhimu sana.Usimfananishe kwa namna yoyote na mtu wa chini.Mwambie yeye ni mzuri kila mara hata kama sio kweli.Isifie tabia yake huku ukimkosoa kwa kimwambia kwba akiacha hiki atakua perfect.
.
.
2.Msifie kila anapopika chakula.Kisifie na shukuru kila umalizapo kula.Mwambie amepika chakula kitamu kuliko jana.Kama una mfanyakaz wa ndani, hakikisha ukisifii chakula chake mbele ya mkeo, onyesha kutoridhika kila ukila chakula alichopika mtu mwingine tofauti na yeye.
.
.
3.Akivaa nguo msifie na mwambie imemtoa vizuri hata kama kavaa pajama na ametoka kama mjusi(butuku).Mwambie anajua kuchagua na kupangilia mavazi.Lakini kma kweli unamaanisha ni sawa lakini kama sio sawa basi hakikisha unakwendanae ahopping na kumshauri anunue mavzi unayopenda avae.
.
.
4.Mtoe out mara kwa mara mkiwa na wanenu(kwa walio na watoto).Mkiwa out isifie familia yenu kwamba mmependeza sana kuliko wote waliopo pale.Mwambie unampenda kila mara.Muulize anapenda nini mkiwa out.Siku moja moja mlale huko huko hasa weekends.Mwambie tena kwamba nampenda sana .
.
.
5.Wasifie watoto wenu mbele yake.Mwambie amezaa watoto wazuri kama yeye hata kama sio wazuri.Mwambie ana mbegu nzuri na ungependa akuzalie zaidi.mkumbatie pamoja na watoto.Mpige busu mbele za watu mwbie mmeendana sana.Siku moja moja yoa chozi wakati ukimwangalia machoni.Mwambie yeye ni mzuri sana.
.
.
6.Jitahidi kumuuliza kuhusu ndugu zake na ongea na wazazi wake mara kwa mara.Ongea na mama yake mbele yako cheka kwa sauti mwambie mama yako mkarimu sana na kwba amepata mama bora.Usimlazimishe aongee na mama yako wala ndugu zako.Mwambie ndugu zake waje kusalimia mara kwa mara.
.
.
7.Kila baada ya sex mwambie ye ni mtaalam hata kama hua analala kama jiwe.Mwambie yeye ni mwanamke wa maisha yako.Mwambie anakuridhisha sana na huna haja na mtu mwingine.mwambie anajua kukata mauno na muulize kam alifundwa ama la!, Mwambie kwamba ulipokua mdogo ulitaka kuoa wanawake wawili lakini kwa sababu yake huna mpango tena.Hakikisha kama mwanaume umemridhisha kweli ili kuziba loop holes za yeye kupigwa na men wengine.Mnyonye kila mahala na umfanyie vitu adimu ambavyo unahisi huko shule, chuona popote kabla yako hakufanyiwa.Mpe staili zote ngeni unazojua.Mfanyie rough sex mara kwa mara maana hiyo hua inawapagawisha wengi.
.
.
8.Ukisafiri au ukiwa kazini mpigie simu mara kwa mara kumjulia hali mwbie umemisi sana na unatamani siku iishe.Mwambie unamuwaza sana mpaka kazi haziendi.muulize chakula alichopika na kisifie mwambie you can't wait to be there, hata kama kapika makande.Muachie kiasi chabkutosha na mwambie yeye ndiye baba wa famili kwa wakati huo aiongoze familia.Onesha kumwamini sana kwa kila anachofanya.
.
.
9.Usifanye kosa kuyongoza wadada ama wanake wa mtaani kwako, unesha kuwadharau mbele yake.Usiwasifie wanawake mbele yake.Wasingizie tabia mbaya rafiki zake hata kama si kweli.Onesha kutokupenda mienendo yao.Usisimame na majirani(wanawake) hata mara moja hata kama hayupo.Ukisalimiwa na wadada ama wanawake wa mtaani kwako itikia kizembe (kama vile radio iliyoisha betri) na wakati mwingine usiitikie kabisa.Taarifa zitamfikia kwamba unadharau na maringo.Hapo yeye moyoni atafurahi sana utasikia anakwba 'uwe unaitikia bby jamani'.
.
.
10.Ongea ndoto zako kila mara ukiwa nae na nn umeplani kwake.Mwambie unatak awe mfanya biashara mkubwa tz au EA.Mwambie anaweza kuajiri watu wengi.Mwambie yeye ni boss mtarajiwa.
Hata kama mmepanga mwambie mtamiliki nyumba yenu na mtakua na wapangaji wengi.Usioneshe unyonge mbele yake wa udhaifu kabisa.Usiseme huna hela mbele yake hata kama huna kweli basi kopa please.
.
.
11.Kama mnamiradi mpe aisimamie yeye na awakontrol wafanyakazi yeye.Mwambie unamwamini japo kia makini sana na hilo.Hakikisha faida inapatikana.

NB: Wanawake hawaeleweki, ukiona umefanya hayo yote bado haeleweki usishangae endelea tu kubuni mengine.
.
Mimi pamoja na kufanya hayo yoote lakini kuna wakati hua namnasa vibao wife


.…........Free ideas..........
Nashukuru kwakua umekiri wazi..... Hawaeleweki kwakweli.....na ni dhambi kusifia uongo...et umsifie mama mkwe ni mkarimu wakati siyo.....ndoa ni kuvumiliana na kuchukuliana bwana..kinyume na hapo hakuna amani wala upendo...Kristo na ukamilifu wake wote bdo alikosana na watu,,,,itakua sisi wanadamu tuliojaa kila aina ya mapungufu....hasa wanawake wa sasa hv hawa.......mmmmh...ukipata ndoa ya namna hyo omba kufa kabla shetani hajakuwahi kukutia dhambini
 
Kweli umemchukia nadhani hilo tako ndio ulilompendea ukasahau mwanamke ni tabia na si tako.. Pole huo ni msalaba wako jaribu kuubeba kwanza. Ila umeshajiuliza why kisirani? Lazima kuna sababu jaribu kuitafuta
Kusema ukweli sababu za ugomvi wanawake huwa wanazjua wenyewe.....maana utamfanyia kila kitu, utawapenda ndugu zake lkn at the end unachukiwa bure....Mungu atusaidie juu ya watu hawa aliotupa watusaidie
 
Kusema ukweli sababu za ugomvi wanawake huwa wanazjua wenyewe.....maana utamfanyia kila kitu, utawapenda ndugu zake lkn at the end unachukiwa bure....Mungu atusaidie juu ya watu hawa aliotupa watusaidie

Lazima kuna sababu mwanamke hawezi kukuchukia bila sababu unaweza penda ndugu zake Na kumpa kila kitu ila akianza kujua unachepuka jua tu utaishi Na shetani unless awe ni mcha Mungu
 
Kusema ukweli sababu za ugomvi wanawake huwa wanazjua wenyewe.....maana utamfanyia kila kitu, utawapenda ndugu zake lkn at the end unachukiwa bure....Mungu atusaidie juu ya watu hawa aliotupa watusaidie

Lazima kuna sababu mwanamke hawezi kukuchukia bila sababu unaweza penda ndugu zake Na kumpa kila kitu ila akianza kujua unachepuka jua tu utaishi Na shetani unless awe ni mcha Mungu
 
Lazima kuna sababu mwanamke hawezi kukuchukia bila sababu unaweza penda ndugu zake Na kumpa kila kitu ila akianza kujua unachepuka jua tu utaishi Na shetani unless awe ni mcha Mungu
Kuchepuka huko kunajulikana tu,,,hata mhusika ukiwa na tabia hyo hata ukichukiwa huwez kulamika....
 
Back
Top Bottom