Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Mpeleke kanisani akafanyiwe maombi ya ukombozi. Hicho kiburi cha kurithi hutaweza kukicontrol kwa akili na nguvu zako. Msaada wa kiroho unahitajika kulinda ndoa yenu.
Mnakumbuka maombi ktk shida.piga chini ndio njia sahihi.maombi wakati wewe mwenyewe mchsfu[emoji12]
 
Inategemea ni mke kutoka wapi? Wakwetu ukitaka adumu mwambie siku nikisikia umechepuka nakuchinja,
 
Namba 11.
Is a foolish idea.
Atahonga pesa zote halafu huo mradi utakufa
 
Hahahahaha mkuu nimecheka sana ila nimejifunza jambo zuri sana, hahaha ila tutawaongopea sana wake zetu kwa sifa na vionjo ilihali maishi yasonge uwiiii teh teh teh teh ndoa ni zaid ya kusomea phd....
 

Acha kuwa primitive, tunaanguka kwa kukosa maarifa, pia kila jambo la kuambiwa linaweza likawa msaada au lisiwe msaada kutokana na factor nyingi sana ,mpaka jambo liwe jawaba katika matatizo yako ya kifamilia basi utaangalia jambo moja kuu ambalo ni wewe na mweza wako uliyemchagua tabia zenu zikoje anzia hapo kwanza....watu kutoka outing ni sehemu ya kujenga utaratibu wa kuzungumza mambo mbalimbali pia ni to refresh mind na familia yako sasa wewe unashangaa na unauliza kwa misingi gani sasa swali gani hilo ni kwa misingi ya love unatakiwa ubadilika acha mifumo dume tuwapende wake zetu, na kupata mawazo na ushauri kwa watu sio jambo baya na hulazimishwi pia kuchukua ushauri ila nacho juwa mimi binadamu huwezi ukajua kila kitu tunasaidiana kufundishana maana elimu ya kujifunza mambo haina mwish sasa wewe endelea kuwaza negatively, na hujalazimishwa kuingia JF naona unasema mleta uzi amekufanya uichukie kuitembelea Jf...grow up dude
 
Kwa kifupi ukitaka uishi na mwanamke kwa amani uwe MNAFIKI.
You nailed it
Sisi ambao hatupendi unafiki na kufake tunapata tabu sana na hawa viumbe mpaka unajihisi una nuksi
 
Povuu! Mkuu, Achana nalo linatia stress
 
Afu kinachonichosha yaan nitumie akili nyingi kukimbizana na shilingi kwa ajili ya familia afu anataka nitumie akili hiyo hiyo kwa kuwa mbunifu kwa vitu vya kinafiki ambayo havilipi bili kabisa me ndo nachokaga kabisa
Akili inaenda resi kusolve major problems afu anakuletea ugomvi na mitego ya kifala tena ya kutengeneza ili sijui iweje....
Aaaagh ngachoka mie
 
Hahahha wamnasa vibao tena? Hawa wake wa skuhizi hawaeleweki. Ukimbahatisha shukuru Mungu..
 
Unaweza ukafanya yote hayo bado ukatoka kapa..hawa wanawake hawaeleweki na kuwaelewa yataka moyo...ni kuishi nao kwa akili tu
Me ndo nashangaa boss
Unajitahid kupiga show your free time unawapa attention yako unalipa bills zote
Still they demanding more aaagh
Sasa viwanda tutavijengaje kwa ajili ya vizazi vyetu kama wanataka innovation yetu tuwape wao
 
Me ndo nashangaa boss
Unajitahid kupiga show your free time unawapa attention yako unalipa bills zote
Still they demanding more aaagh
Sasa viwanda tutavijengaje kwa ajili ya vizazi vyetu kama wanataka innovation yetu tuwape wao
Kweli na vyote unafanya bado wanachepuka mkuu..kwa kweli ni tabu
 
Huyoooo ni chaguo lakooo[emoji443] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444]
 
hizo zote ni mbwembwe kubwa mwanaume kuomba msamaha kwa kila jambo!
 
Povuu! Mkuu, Achana nalo linatia stress
Nimemsaidia mkuu sio povu,nataka ajifunze kuna watu unatakiwa utumie mambo ya ziada ili akuelewe...lengo ni kumtoa huko alipo aende na wakati vitu vimebadilika,akiona mleta uzi anazingua sio lazima akubaliane nayo apige kimya.. Sio ohh mimi JF nilikua naipenda ila baada ya kuona hii post imechangia kutoingia Jf kwendra apite hivi,kuna vijamaa huwa vinapenda kujiona wao ndiyo wana akili mingi kumbe zero kabisa
 
Hivi mkuu unafikiri wanawake huwa hawana akili timamu?

'...hata kama kitandani yupo kama gogo msifie...[emoji50] ' , mwanamke gani atakubali?!

Jambo la msingi wawe na mawasiliano mazuri tu, hapa watayazungumza yafaayo na yasifaa ktk uhusiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…