Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Khaaa hizo nguvu me Mbona nimenyimwa jamani, naonewa kweli. Teh aunt yangu mmoja ni mpole jamani hadi tunataka tumtoe unyakyusani, ila mchokoze utakavyokula mateke na mabanzi, anakung'uta mweeeh. Mumewe alikuwa anamdundaga hadi huruma, siku akasema khaa baba imetosha, alikula kipondo na ndo ikawa mwisho wa kumpiga.Hahahaaaa! Nimemkumbuka rafiki yangu mmoja, ana kisirani sio cha nchi hii, anaweza pigana na mtaa mzima.
Shikamoo wanyakyusa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaa hizo nguvu me Mbona nimenyimwa jamani, naonewa kweli. Teh aunt yangu mmoja ni mpole jamani hadi tunataka tumtoe unyakyusani, ila mchokoze utakavyokula mateke na mabanzi, anakung'uta mweeeh. Mumewe alikuwa anamdundaga hadi huruma, siku akasema khaa baba imetosha, alikula kipondo na ndo ikawa mwisho wa kumpiga.
Khaaa hizo nguvu me Mbona nimenyimwa jamani, naonewa kweli. Teh aunt yangu mmoja ni mpole jamani hadi tunataka tumtoe unyakyusani, ila mchokoze utakavyokula mateke na mabanzi, anakung'uta mweeeh. Mumewe alikuwa anamdundaga hadi huruma, siku akasema khaa baba imetosha, alikula kipondo na ndo ikawa mwisho wa kumpiga.
Wengi tu[emoji78] [emoji78] [emoji78][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si unaona sasa!!
Hivi nani anakuonea kwa mfano!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kuna uzi, ngoja niutafute nikutag ujichekeejaman huu uzi unanichekesha sana mie na wanyaki aiseee hahah
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wengi tu[emoji78] [emoji78] [emoji78]
Kuna uzi, ngoja niutafute nikutag ujichekee
Umeolewa best?yan wewe mtoa mada km unafanya haya kwa mkeo aisee nikupe hongera ! jaman hapa duniani KUNA WANAUME MIZIGO SIJAPATA ONA !HAPA NILIPO NAHIS BORA YESU ARUDI TU HARAKA ! ifike kipindi kina mama wakioza watoto wao wakiume mayb wawatemee vimate kichwani jaman !yaan kuna mijanaume jaman inajisahau kwa kila sector !yaan lipo tu km limechukuliwa msukule wa KIKINGA !
MXIEWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWW
Haha waombe radhi wakingayan wewe mtoa mada km unafanya haya kwa mkeo aisee nikupe hongera ! jaman hapa duniani KUNA WANAUME MIZIGO SIJAPATA ONA !HAPA NILIPO NAHIS BORA YESU ARUDI TU HARAKA ! ifike kipindi kina mama wakioza watoto wao wakiume mayb wawatemee vimate kichwani jaman !yaan kuna mijanaume jaman inajisahau kwa kila sector !yaan lipo tu km limechukuliwa msukule wa KIKINGA !
MXIEWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWW
Haha waombe radhi wakinga
AsanteAsee we kijana wangu kwanza kwa Avatar yako na ukichanganya na bandiko lako napata picha ulivyo na unamuelekeo wa kupenda nini... [emoji355]!
Asante mkuu hua nafirahi nikiona positive ideas kama hizi nahi nafurahi sana uzi wangu ukichangiwa na watu elfu kadhaa kama hiviNimemsaidia mkuu sio povu,nataka ajifunze kuna watu unatakiwa utumie mambo ya ziada ili akuelewe...lengo ni kumtoa huko alipo aende na wakati vitu vimebadilika,akiona mleta uzi anazingua sio lazima akubaliane nayo apige kimya.. Sio ohh mimi JF nilikua naipenda ila baada ya kuona hii post imechangia kutoingia Jf kwendra apite hivi,kuna vijamaa huwa vinapenda kujiona wao ndiyo wana akili mingi kumbe zero kabisa
analiwa huyoFree ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa
Hapo unasex kwa kasi na hovyo hovyo, yaani unapiga kila kona kwa kasi na nhuvu nyingi na unabadili stail kila mara.Unamgeuza geuza kila wakati ndani ya nusu saa katokwa jasho na kachoka sana .Na hakikisha anafika orgasm mara nyingi sana kabla yako.Mpige mpaka aombe pooRough sex ikoje mkuu,msaada please
Karibujaman huu uzi unanichekesha sana mie na wanyaki aiseee hahah