Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Khaaa hizo nguvu me Mbona nimenyimwa jamani, naonewa kweli. Teh aunt yangu mmoja ni mpole jamani hadi tunataka tumtoe unyakyusani, ila mchokoze utakavyokula mateke na mabanzi, anakung'uta mweeeh. Mumewe alikuwa anamdundaga hadi huruma, siku akasema khaa baba imetosha, alikula kipondo na ndo ikawa mwisho wa kumpiga.Hahahaaaa! Nimemkumbuka rafiki yangu mmoja, ana kisirani sio cha nchi hii, anaweza pigana na mtaa mzima.
Shikamoo wanyakyusa.