bambo nchimbi
Member
- Mar 9, 2017
- 33
- 14
duuuuh......jaribu kujua tatizo huenda hata wewe unamkosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndicho kinachonipa tabu mimi, too much reasoning.......Kwa kifupi ukitaka uishi na mwanamke kwa amani uwe MNAFIKI.
& MSANII.Kwa kifupi ukitaka uishi na mwanamke kwa amani uwe MNAFIKI.
& MSANII (ACTOR)Kwa kifupi ukitaka uishi na mwanamke kwa amani uwe MNAFIKI.
Bora ujifanyie yako tu bila kumtaarifuAsante kwa ushaur...ila hawa viumbe hawaeleweki kabisa
Free ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa
Kwa kifupi ukitaka uishi na mwanamke kwa amani uwe MNAFIKI.
Kiukweli hata nikiuliza tukiwa tumetulia tatizo lilikuwa n nn yeye huishia kulia tu (nabaki kubembeleza) but nimechoka hasa na kisiran yaan kuna wakati hausigel, watoto na mm tunanuniwa wote. Ghafla anaanza kugomba nyumba nzima. Mm siku hz akianza ndo tiket ya kuondoka home. Ntarudi saa 7 usiku nikute wote wamelalaDah! Pole sana Mkuu. Sasa mnagombana nini?
Kiukweli hata nikiuliza tukiwa tumetulia tatizo lilikuwa n nn yeye huishia kulia tu (nabaki kubembeleza) but nimechoka hasa na kisiran yaan kuna wakati hausigel, watoto na mm tunanuniwa wote. Ghafla anaanza kugomba nyumba nzima. Mm siku hz akianza ndo tiket ya kuondoka home. Ntarudi saa 7 usiku nikute wote wamelala
Yaani unipikie chakula kibovu halafu nkusifie?
Itakuwa sikupendi sasa kama hata sikurekebishi
Pia mwingine anaweza kukutega kwa kufanya makusudi kucheki je mume wangu yupo makini?Ndiyo sababu nikasema ukiamua kuwa mnafiki ni tatizo, kusifia hata ambayo hayastahili.
Pia mwingine anaweza kukutega kwa kufanya makusudi kucheki je mume wangu yupo makini?
Akapika ovyo as unavomsifia na chakula kibovu atajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ebanee chief hakuna formula maalum generally ya jinsi ya kuishi na mwanamke
Wee utaishi nae baada ya kumjua na kumsoma alivo tu
Mengine haya ni mboyoyo tu
Nimeanza kutafuna Hausigel (humo humo ndani) naenjoy **** mnatoooo na nnyege kwishneyMh! Nimeukumbuka uzi wako. Pole sana Mkuu. Ila kwenye haya mapenzi ukapata kuwa na mtu mliyeelewana sana na hamgombani lakini bahati mbaya msioane wapenzi wapya kwa KE na ME wakiwa hawafikii kiwango mlichofikia wote mtapata shida sana. Lakini hiyo ya kuondoka home si kwa kupenda ni kwa kukimbia ugomvi ambao ungependa usiwepo mkae na mkeo mfurahie kuwa pamoja kama mke na mume na baba na mama. Pole sana Mkuu.