Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Dah! Pole sana Mkuu. Sasa mnagombana nini?

Free ideas mm wangu hata ukisema muende outing (mostly beach hotels) mtaishia kugombana huko huko. Toka Aprili nilikuwa Sweden kikazi nikarudi wk iliyopita ile tumeanza vizuri tu pale nimekuja jion yake tukapiga sex adimu, tukarudia tena alfajiri. Kufika kwenye saa 5 asubuhi (ilikuwa weekend) akaanza kisirani daah ile hamu yote ya kummis ikapotea. Nimeamua kukaa kimya nafocus kwa watoto tu Ndo furaha yangu iliyobaki. Hapa mke nimeoa *boya flan amazing* haeleweki. Natamani mchepuko ingawa nilijaribu baadhi nao ni pasua kichwa
 
Dah! Pole sana Mkuu. Sasa mnagombana nini?
Kiukweli hata nikiuliza tukiwa tumetulia tatizo lilikuwa n nn yeye huishia kulia tu (nabaki kubembeleza) but nimechoka hasa na kisiran yaan kuna wakati hausigel, watoto na mm tunanuniwa wote. Ghafla anaanza kugomba nyumba nzima. Mm siku hz akianza ndo tiket ya kuondoka home. Ntarudi saa 7 usiku nikute wote wamelala
 
Mh! Nimeukumbuka uzi wako. Pole sana Mkuu. Ila kwenye haya mapenzi ukapata kuwa na mtu mliyeelewana sana na hamgombani lakini bahati mbaya msioane wapenzi wapya kwa KE na ME wakiwa hawafikii kiwango mlichofikia wote mtapata shida sana. Lakini hiyo ya kuondoka home si kwa kupenda ni kwa kukimbia ugomvi ambao ungependa usiwepo mkae na mkeo mfurahie kuwa pamoja kama mke na mume na baba na mama. Pole sana Mkuu.

Ndiyo sababu nikasema ukiamua kuwa mnafiki ni tatizo, kusifia hata ambayo hayastahili.

Yaani unipikie chakula kibovu halafu nkusifie?
Itakuwa sikupendi sasa kama hata sikurekebishi
 
Ndiyo sababu nikasema ukiamua kuwa mnafiki ni tatizo, kusifia hata ambayo hayastahili.
Pia mwingine anaweza kukutega kwa kufanya makusudi kucheki je mume wangu yupo makini?
Akapika ovyo as unavomsifia na chakula kibovu atajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ebanee chief hakuna formula maalum generally ya jinsi ya kuishi na mwanamke

Wee utaishi nae baada ya kumjua na kumsoma alivo tu
Mengine haya ni mboyoyo tu
 
Ni kweli Mkuu lakini wako baadhi ni poa sana ila sasa ubahatike kumpata mtu wa namna hiyo ambaye akiambiwa chakula cha leo bomu wala si kizuri hatanuna bali ataona njemba imeamua kuwa mkweli. Na ME pia ni vizuri kusifia kama unakula msosi mtamu hadi kisogoni. Binadamu wote ME na KE hatuko perfect. Mwingine unaweza kumwambia hivyo chakula kibaya asikasirike sasa siku kapika kizuri anangoja kusifiwa njemba inakata tonge bila kutia neno. Hilo la kutosifia linaweza kuwa chanzo cha varangati. Nikipika vibaya unalalamika na huli, leo nimepika vizuri hata kutia neno! Ni aje?

Pia mwingine anaweza kukutega kwa kufanya makusudi kucheki je mume wangu yupo makini?
Akapika ovyo as unavomsifia na chakula kibovu atajua kabisa hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ebanee chief hakuna formula maalum generally ya jinsi ya kuishi na mwanamke

Wee utaishi nae baada ya kumjua na kumsoma alivo tu
Mengine haya ni mboyoyo tu
 
Asee we kijana wangu kwanza kwa Avatar yako na ukichanganya na bandiko lako napata picha ulivyo na unamuelekeo wa kupenda nini... ⌚!
 
Mh! Nimeukumbuka uzi wako. Pole sana Mkuu. Ila kwenye haya mapenzi ukapata kuwa na mtu mliyeelewana sana na hamgombani lakini bahati mbaya msioane wapenzi wapya kwa KE na ME wakiwa hawafikii kiwango mlichofikia wote mtapata shida sana. Lakini hiyo ya kuondoka home si kwa kupenda ni kwa kukimbia ugomvi ambao ungependa usiwepo mkae na mkeo mfurahie kuwa pamoja kama mke na mume na baba na mama. Pole sana Mkuu.
Nimeanza kutafuna Hausigel (humo humo ndani) naenjoy **** mnatoooo na nnyege kwishney
 
Nilikuwa bado napenda kuendelea kusoma soma hum jf, duuh! Huu uzi umeninyima raha kabisa ,, ila nahisi mwenye uzi huu atakuwa nimtoto anataka kujaribu kuwashauri wazee, nikitu kigumu sana, haiwezekani mtu mzima kila jambo analolifanya umwambie we unaakili ,mara we mzuri, mara mkalale huko huko mliko kwenda aut, bila misingi yeyote, pia umenifanya nikumbuke neno moja lililo tamkwa na mzee mmoja alisema, MWAZO YAJIRANI YAKO HAYAWEZI KUONGOZA NYUMBA YAKO, naleo nimeamini
 
Back
Top Bottom