Yaani nisome dua kila siku kama shee vile[emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani dogo akilia nimuimbie nyimbo[emoji28][emoji28][emoji28]
Nikifikiria hayo nachoka
Yaani nisome dua kila siku kama shee vile[emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani dogo akilia nimuimbie nyimbo[emoji28][emoji28][emoji28]
Nikifikiria hayo nachoka
Hi ni Moja Kati ya thread nzuri Sana ambazo nimewahi kuzisoma humu jf ubarikiwe Sana mkuu ROBERT HERIEL.Siku mke wangu atakaposhika mimba yangu tutazingatia taratibu zote kwenye Uzi huu.