Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
- #21
Hahahaha....! ni kweli mkuu, usahili unaogofya, maana hujui unachoenda kukutana nacho.Itanisaidia hii maana bado sijawahi kuonja joto la usahili...
All the best mkuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha....! ni kweli mkuu, usahili unaogofya, maana hujui unachoenda kukutana nacho.Itanisaidia hii maana bado sijawahi kuonja joto la usahili...
Shukrani sana kwa majibu mujarab!Mbona ameeleza kuwa alipata kazi baada ya kufanya vema kwenye interview husika...
Ungewajibu tu kuwa hao azazi wako Upinzani au CCM?On my last interview, the last question was “how others describe you”?
Unazingua mkuu.Ungewajibu tu kuwa hao azazi wako Upinzani au CCM?
Ahsante Dr, natumaini nondo hizi zitasaidia huko mbeleni kwenye utafutaji
On my last interview, the last question was “how others describe you”?
😂😂😂😂😂Ungewajibu tu kuwa hao azazi wako Upinzani au CCM?
Beby hadi leo unasaka ajira? c'mon
Hahahaha...!! Sasa si hujamfungulia biashara bebi wako? Afanyeje sasa?Beby hadi leo unasaka ajira? c'mon
Ni swali fikirishi kwa kweli.Kwenye hizo kazi zenu za mashirika ya UN ni swali muhimu
Hii ni mbegu umeshapanda huwezi kujua watu wangapi watafaidika kwa mchango huuAmen mkuu!!
Nitafurahi pia kama nilichoandika kitamsaidia hata mtu mmoja humu JF katika utafutaji wake.
Baby bado natafuta, ujue connection ulizonipa zote hazina maajabuBeby hadi leo unasaka ajira? c'mon
Ni kweli kabisa mkuu!!Hii ni mbegu umeshapanda huwezi kujua watu wangapi watafaidika kwa mchango huu
On my last interview, the last question was “how others describe you”?
And can be a tricky one on the spot.Hili swali nimejiukiza leo, about women's day. Nimeona mtu anajielezea nikajiwazia hivi naweza kujielezeaje? Hivi watu wakiambiwa wanielezee watasemaje? Tatizo nikiwauliza hawanichukulii serious [emoji4]
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Ungewajibu tu kuwa hao azazi wako Upinzani au CCM?
And can be a tricky one on the spot.
Watu wengi sana wanatamani hiyo nafasi. Na kama ukipata bahati hiyo ya kusikia watu wanayoyasema baada ya kufa, inaweza kubadilisha kabisa maisha yako.It is realky tricky.
Plus, how do we get to know what really people think about us? Manake mie opinion zangu juu ya waty sizisemi kabisa unless ni mtu wa karibu kweli na naona itamsaidia.
Ulishawahi kutamani ukifa usikie what people say about you? Don't mind me, im crazy [emoji4]
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mimi jinsi ambavyo huwa najiandaa kujibu hili swali huwa nafanya hivi.Kweli kabisa mojawapo ya swali gumu ninalofikiria ni kuhusu payment na kwanini ulipwe hivo
Wajuvi tunaombeni msaada namna ya kulijibu hili natanguliza shukran
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app