Jinsi ya kujibu swali la, "Why should we hire you?" kwenye interview

Mimi jinsi ambavyo huwa najiandaa kujibu hili swali huwa nafanya hivi.
Naangalia my current salary, halafu salary range nitakayoitaja itakua with increment ya kati ya 20% - 40% of my current salary.
So, kwa mfano my current salary ni shilingi 100, nitajibu:
"Since my current salary is tshs 100, and i do expect also to grow financially as i cross organizations, my salary expectations for this role is around 120 to 140 tshs. The increment will be one of the motivators in my new role.
Fazz
kwa fresher kama mie ntajibu vpi mkuu.
 
Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa sababu unaulizwa swali ambalo kwa namna moja au nyingine unalazimika kuanza kujilinganisha na watu wengine ambao unashindana nao kwenye huo usahili ambao hata hauwafahamu. Bahati mbaya ni kwamba swali hili bado linapendwa sana na baadhi ya waajiri na HR.

Je, ujiandaaje kujibu swali la aina hii kwenye usahili? Zingatia yafuatayo:
1.Fanya utafiti/uchunguzi kuhusu kampuni/shirika husika na pia kuhusu hiyo nafasi uliyoomba.

2.Wakati unajibu, hakikisha unafanya ulinganifu (correlation) ya jibu lako unalotoa na majukumu ya hiyo kazi ambayo yameainishwa kwenye 'job descrption' kwenye tangazo la hiyo kazi.

3.Onyesha utofauti wako kwa kuelezea unique skills and/or experience uliyonayo kuhusiana na hiyo nafasi unayoomba.

Hapa chini nitakupa formula ya jinsi ya kujibu hili swali, ikifuatiwa na mfano:
1. From my understanding, one of the key requirements for this position is ... (see from the Job description the key requirement/s for the post).

2. You should hire me because... (Talk about your experience in the sector and the role that makes you a suitable candidate + the specific skills that you have in relation to the role you are applying for).

3. I also learnt that your organization... (talk about one of the strengths of the organization/project that you learnt of in your research about the organization).

4. I know without doubt that my skills and experience in .... will add value and lead to success.

Mfano halisi wa jinsi ya kujibu hilo swali:
Huu ni mfano wa jibu ambalo mimi nilijibu wakati wa interview ya Technical Advisor-HIV Care and Treatment. (I nailed the interview, and an offer letter was extended to me).

Answer: From my understanding, one of the key requirements for this position is the ability to provide high quality technical assistance to regional offices teams in the XX project. You should hire me, because I have more than 6 yrs experience and skills in the provision of technical assistance in the implementation, and monitoring of HIV/AIDS programes that i acquired from my current and previous roles.

I also learnt through my research that your organization values innovation, which is one of my passion and i know without doubt that my experience in Public Health programes will add value and lead to greater success of project XX and the whole organization at large.

Note:Hakikisha unapractise jinsi ya kujibu hili swali na kuandika kabisa kwenye note book namna ambavyo utalijibu hili swali, ili usianze kubabaika utakapoulizwa.

Kwa mfano mimi, nina ka note book kangu huwa nakatumia kwa maandalizi ya interviews, nimeandka haya maswali na namna ya kuyajibu kwa karibu kila interview ambayo nimehudhuria (nimetumia hako ka note book kuandika huu uzi).

Swali lingine la muhimu kujifunza kujibu ni lile swali maarufu la "Tell us about yourself", kuna comment ya kwenye uzi mmoja humu nimeelezea kidogo, haya ni maswali mawili muhimu ambayo LAZIMA ujiandae kuyajibu kabla ya kila interview.

Ahsanteni waungwana.
Noted
 
kwa fresher kama mie ntajibu vpi mkuu.
Kiukweli ukiwa fresher hili swali linakua gumu zaidi. Ideas on the strategies you can use kulijibu ukiwa fresher, kila moja ina faida na hasara zake;
1.Fanya utafiti yakinifu juu ya hiyo nafasi kwenye hiyo organization wanalipaje? Ukipata idea labda hiyo post wanalipa laki 5, then jibu lako litoe katika range ambayo inaenda humo humo (eg laki 450,000 hadi laki 650,000). This is the best strategy i would say. Shida ni kwamba, i understand kwa kibongo bongo kupata hii taarifa ya kiasi wanacholipa inaweza kuwa ni next to impossible (tofauti na nchi za wenzetu ambapo hizi figure zipo kwenye internet,just a click or two away).
2.Jibu, "niko tayari kulipwa kulingana na salary scale ya organization. Disadvantage ya hili jibu ni kwamba wanaweza kukulalia kweli kweli kwa sababu unakua umeji expose kuwa hujui rates zao.
3."Jilipue" and just state the amount ambayo itakufanya ufanye kazi ukiwa at least comfortable kuweza ku meet your expenses. Hasara ya hii strategy ni kwamba unaweza ukataja amount kubwa sana kuliko uwezo wa kampuni hivyo wakaishia kukutema in favour of mwingine alietaja a lesser amount (hasa kwa kampuni ndogo ndogo au zinazopenda kulalia wafanyakazi), au ukataja amount ndogo sana wakakulalia.
kitonger
 
ubarikiwe sana mkuu..pia kuna interview moja nlifanyaga..na ilikua ndio ya mwisho..nliulizwa swali nikabaki nakodoa tu...WILL U LIE FOR THE SAKE OF OUR COMPANY?
 
I can't wait to be before the panel. I wish iwe hivyo kisha nije kunarrate the whole experience.

Itakua mara yangu ya kwanza.
 
Swali pekee ambalo unaingia kwenye interview unajua lipo yani utakutana nalo tu ni wewe kujipanga namna ya kilipangua,

Au lile kwanini unahisi wewe ni bora kuliko wenzako ambapo ukilijeuza linalingana na hili ila ujibuji wake ni watofauti
 
Yes [emoji1474] I said I’m a team player and I can be flexible in helping others.
Umelijibu kirahisi sana hilo swali, ni moja ya swali pana sana unyambulishaji wake upo hapa SWOT analysis, weakness zifanya ni zenye faida ila kwako zinaonekana ni kama udhaifu
 
ubarikiwe sana mkuu..pia kuna interview moja nlifanyaga..na ilikua ndio ya mwisho..nliulizwa swali nikabaki nakodoa tu...WILL U LIE FOR THE SAKE OF OUR COMPANY?
Karibu sana mkuu.
Kuhusu hilo swali kwa kweli halina fixed answer,inategemea na waulizaji wanatafuta nini haswa.
But ingekua mimi,ningejibu, "No, i never lie in my professional life no matter how beneficial sounds in the short term, because i do believe that in the long run, there will be detrimental consequences to my career and the organization".
kitonger
 
Swali pekee ambalo unaingia kwenye interview unajua lipo yani utakutana nalo tu ni wewe kujipanga namna ya kilipangua,

Au lile kwanini unahisi wewe ni bora kuliko wenzako ambapo ukilijeuza linalingana na hili ila ujibuji wake ni watofauti
For sure, hili ni kati ya maswali common sana kwenye interviews. Nimekutana nalo kwenye zaidi ya 10 interviews kati ya 20+ interviews nilizofanya so far.
Iceberg9
 
I can't wait to be before the panel. I wish iwe hivyo kisha nije kunarrate the whole experience.

Itakua mara yangu ya kwanza.
Kila kitu kina mwanzo mkuu. I believe utafanya interviews za kutosha and you will have a lot to tell!
Castr
 
Baada ya kujibu hivyo mbona hujatupa majibu uliyoyapata baada ya interview?

Kazi ulipata au ulichinjiwa baharini...!?

Je unadhani hilo jibu lako ndilo bora zaidi ya mengine yanayoweza kutolewa..!?
Haka kajamaa kametoa hizi details zote quora nothing new.
Na hizi mbanga zimeshajadiliwa sana humu jamvini.

Hakuna jipya, sababu za ku-win interview kwa siku za hivi karibuni ni mbili tu
1. Muonekano mzuri.
2. Kujua kujieleza. (Hapa haijalishi utapata au utakosea kwenye kile unachokielezea) kea kifupi kwenye hili watoto wa mjini tunasema lazima uwe na janja janja
 
Hongera kwa kuona hakuna jipya kwako kwenye nilichoandika mkuu. Ni vyema ukawaachia wale ambao wameona kuna jipya na wao wakajiongezea mambo mapya katika ufahamu wao. Do not waste your time reading and replying something that does not add anything new to what you already know.
 
Peleka chit chat hii shundu
 
Achana nae mkuu..Avatar yake ynyew inatia mashaka
 
Kiukweli ukiwa fresher hili swali linakua gumu zaidi. Ideas on the strategies you can use kulijibu ukiwa fresher, kila moja ina faida na hasara zake;
1.Fanya utafiti yakinifu juu ya hiyo nafasi kwenye hiyo organization wanalipaje? Ukipata idea labda hiyo post wanalipa laki 5, then jibu lako litoe katika range ambayo inaenda humo humo (eg laki 450,000 hadi laki 650,000). This is the best strategy i would say. Shida ni kwamba, i understand kwa kibongo bongo kupata hii taarifa ya kiasi wanacholipa inaweza kuwa ni next to impossible (tofauti na nchi za wenzetu ambapo hizi figure zipo kwenye internet,just a click or two away).
2.Jibu, "niko tayari kulipwa kulingana na salary scale ya organization. Disadvantage ya hili jibu ni kwamba wanaweza kukulalia kweli kweli kwa sababu unakua umeji expose kuwa hujui rates zao.
3."Jilipue" and just state the amount ambayo itakufanya ufanye kazi ukiwa at least comfortable kuweza ku meet your expenses. Hasara ya hii strategy ni kwamba unaweza ukataja amount kubwa sana kuliko uwezo wa kampuni hivyo wakaishia kukutema in favour of mwingine alietaja a lesser amount (hasa kwa kampuni ndogo ndogo au zinazopenda kulalia wafanyakazi), au ukataja amount ndogo sana wakakulalia.
kitonger
Kaka ilo swali mi nilikumbana nalo na la mwisho kabisa,"which salary scale do you prefer most"

Bhana bhna wakatega masikio maana time zimeenda uko nyuma nilijibu fresh hapa nikaona nisijivunge japo nilikuwa naijua

nikajibu short and clear sitaki kuongea kingerza king nisije changanya madawa

" regard to the status of the organization,hopefully the organization offers a competitive salary scale thus why am overlooking for this golden chance

Kingine naona ukitaja bora utaje kwa mfumo wa dollar uwachanganye nao pia

Walikaa kimya

Nikaitwa kazini😉😉😉sijajua kama nimepatia au laa
 
Hongera kwa kuona hakuna jipya kwako kwenye nilichoandika mkuu. Ni vyema ukawaachia wale ambao wameona kuna jipya na wao wakajiongezea mambo mapya katika ufahamu wao. Do not waste your time reading and replying something that does not add anything new to what you already know.
Wewe jamaa una shida, hiki ulichokuandika quora kimeulizwa sana na majibu yake ni hayo uliyoyaandika na hizi kwa ajira za kibongo sio NONDO!

Na kukuthibitishia ulichokifikilia humu kilishawahi kujadiliwa kwa nondo za kutisha pitia hapa bwana mdogo V.U huwa mnanichosha sana akili kudadadeki zenu.

Do not waste your time reading and replying something that does not add anything new to what you already know.
 
Back
Top Bottom