Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Hili diniKingine naona ukitaja bora utaje kwa mfumo wa dollar uwachanganye nao pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili diniKingine naona ukitaja bora utaje kwa mfumo wa dollar uwachanganye nao pia
Amen..!! Shukrani kama kuna kitu umepata kwenye niliyoandikaUbarikiwe mtoa post ............sio watu wanawaza kulana tu kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha.....!!! Trust me, I was once tempted kujibu kama hivyo. Kiukweli kama nilivyosema ni kati ya maswali ambayo siyapendi kabisa. Unaweza kujibu hivyo if you can afford not to get that job!!Ukijibu "You should hire me so i can be in your place and asking better questions" kutakuwa na tatizo?!
Npo bado nasoma mkuu ........nikimaliza ntautumiaAmen..!! Shukrani kama kuna kitu umepata kwenye niliyoandika
Nafurahi kusikia kuwa nilichoandika ni useful kwako. I am humbled.Uzi wako mzuri sana
Ahsante mkuu kwa kuongeza kitu kizuri kwenye uzi huu.
Kwenye Business Plan yako utapofika kipengere cha ‘How I can get/Rise Fund' ndio utajua pia Fred Vunjabei aliyajua haya maswali.Waliojiajiri haya maswala hayapo
Kabla hujajibu post/comment fulani ni vyema ukasoma kwa makini na kuelewa post husika. Vivyo hivyo pale unapojibu swali ambalo umeulizwa kwa mdomo. Kukosa umakini ni tatizo kwa watu wengi hivi sasa, na ni moja ya sababu inayowakosesha fursa nyingi na kubaki kulalama tu.
Ukitulia na kusoma kwa makini post yangu, badala ya kuisoma haraka haraka na kukimbilia kureply, utagundua kuwa nimeeleza kuwa nilifanya vizuri sana hiyo interview na nilipewa barua ya ofa kwa hiyo position.
Kuhusu ubora wa jibu langu hiyo ni subjective inategemea mtu na mtu. Nimeileta hapa ili atakaeona inafaa aichukue, atakeona haimfai aachane nayo.
Freyzem
I have noted this great answer aisee maana nilichokua nakifikiria kujibu kama ningeulizwa hilo swali sijui, nahisi ningeambiwa nirudi tu home 🤔 thank you for sharing with us. Ubarikiwe.Karibu sana mkuu.
Kuhusu hilo swali kwa kweli halina fixed answer,inategemea na waulizaji wanatafuta nini haswa.
But ingekua mimi,ningejibu, "No, i never lienin my prodessional life no matter how beneficial sounds in the short term, because i do believe that in the long run, there will be detrimental consequences to my career and the organization".
kitonger