Meshack Solomon
Member
- May 22, 2020
- 6
- 5
Una akili sana, big up 👍🏾👏🏾👏🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamaanisha katika hatua hiyo ya application, hawahitaji cheti chako chochote. Labda watakuja kuhitaji huko mbele ya safari wakati wa interview (ukiwa shortlisted), au wakati wanakupa offer letter (ukipenya na kupata hiyo nafasi)Please do not attach any certificates when submitting online"
Hivi ndugu zangu wanasema hivi wakimanisha ukitwa ndio watahitaji hivi vitu ?
Asante sana Dr. Samahani mimi sio mzoefu sana katika kuapply nafasi za kazi nilikuwa naomba kujua kama unauzoefu kwenye tasisi ambazo hatupewi anuani ya kutuma barua ya maombi je tunafanya maana maombi ni online na hatuoni anuani ya ofisi ambayo tunatuma maombi haya msaada tafadhari.Wanamaanisha katika hatua hiyo ya application, hawahitaji cheti chako chochote. Labda watakuja kuhitaji huko mbele ya safari wakati wa interview (ukiwa shortlisted), au wakati wanakupa offer letter (ukipenya na kupata hiyo nafasi)
Kwa organizations ambazo application ni online, mara nyingi huwa hata hawajali kama umeweka anuani au hujaweka kwenye barua yako ya kuapply. In fact, mimi sikumbuki mara ya mwisho nimeandika anuani kwenye barua yangu ya maombi ya kazi (application letter). Vitu kama anuani kiukweli vimepitwa na wakati (kasoro labda kwa organization chache ambazo application zake bado ni manual-za kutuma hard copy, na kwa taasisi za serikali labda-sina uzoefu wa kuapply kwenye taasisi za serikali).Asante sana Dr. Samahani mimi sio mzoefu sana katika kuapply nafasi za kazi nilikuwa naomba kujua kama unauzoefu kwenye tasisi ambazo hatupewi anuani ya kutuma barua ya maombi je tunafanya maana maombi ni online na hatuoni anuani ya ofisi ambayo tunatuma maombi haya msaada tafadhari.