Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Wabongo bhana 😁😁,
humu kila mtu hajajiunga Ila thread za mavitu ya mange huwa zinapata comments na views za kutosha. Bado connection za mastar akizivujisha, kila mtu anaomba desperately

Mange anachukiwa Ila vitu vyake vinapendwa, kila mtu hajajiunga Ila mange anaingiza millions of shillings kila mwezi. Wabongo wenzangu em make it make sense 😁
Kuna jitu huko juu linaitwa joannah linakata viuno kwenye huu uzi kuwapondea wanaomiliki hio app

badae ametoa komenti inayo ashiria kumbe nayeye anafatilia mambo yakimambi🤣
 
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?

Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
wakati kila siku tunabembelezana mlipie kidogo JF hamtaki ila mkishapigwa huko mnakuja kulalamikia huku....kuna shida
 
Mtu yeyote tena Mtanzania anayemlipa mtu wa US tena mwanamke ili ampe habari za umbea toka katika nchi ambayo anaishi huyo ni kichaa
Ni kichaa
Mwehu
Raw materials zinatoka bongo, zinasafirishwa hadi Ulaya na Marekani. Huko zinakuwa processed na kuwa manufactured then zinarudushwa kwenu bongo kuuzwa kwa bei ya juu kama products.
Imagine, hata umbea wabongo mnau export halafu mnarudishiwa kuuziwa wakati umbea wenyewe unatokana na nyie.
Akina Shigongo walijaribu kwa wakati wao kufungua njia, lakini ninyi mmeshindwa kufaidika nao katika zama hizi!!
 
Basi kila mtu humu anajifanya hana na wala hajawahi kuvutiwa na Mange App😂

Mkuu njoo pm nikuelekeze namna ya kujitoa, ni rahisi tuu..

Njia nzuri ya ku subscribe ni kupitia Google Pay maana unaweza ku cancel subscriptions kupitia hukohuko Google kwenyewe anytime..

Mimi nimesubsrcibe mwaka mzima, wale wapiga spana nipigeni spana mnavyotaka ila sitoki ng'ooo😂

Screenshot_2023-10-04-10-21-06-726_com.android.vending-edit.jpg
 
JF inapoteza uthamani wake kila kukicha.

Mkuu amekuja hapa na ombi. Badala ya kumsaidia mnaanza kumkejeli. Pages tatu zote, asilimia kubwa ya comments ni za kejeli. Lakini deep down, wapo ambao pia wamejiunga.

2,300 ni hela ndogo, ila haipaswi kwenda kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Alijiunga akiwa anaridhishwa na huduma. Pengine sasa hafurahishwi nayo. Zipo subscriptions nyingi tu, watu hujiunga na baadae hujiondoa.

Mkuu mleta mada, tafadhali uje hapa ujibu maswali yafuatayo. Mimi nitakusaidia kujitoa;
1. Ulitumia njia gani kujiunga? Kadi ya benki ama Mobile Wallet cards?
2. Kama ni hizo za simu, je ni ya mtandao gani?

Raia Fulani
Dah! sijaamini kilichotokea hapa. Page 3 za mashambulizi? Nakumbuka nina threads za kutosha za maana ila hazina hata page mbili za uchangiaji. Wanaojiita wa busara ndio hao wanaochafua jukwaa hili kwa kejeli. Wanachojua ni mipasho tu. Hii ni hatari kwa taifa. Ningekuwa chitchat sawa, ila hapa natafuta ufumbuzi wa ishu iliyotokea. Hao hao wanaoponda hapa ukiwachunguza ni hodari kwa habari za udaku. Nimewasamehe.

Mkuu ukisoma uzi utaona maelezo yangu
 
Wanaume wengi ni wanafiki sana. Wengi mnayo app ya mange..mnahishebedua tu hapa.
Tena mijanaume mikubwa kabisa...wanamfatilia mange. Nimeshawaona kama watatu hivi nikashangaa sana.
 
JF inapoteza uthamani wake kila kukicha.

Mkuu amekuja hapa na ombi. Badala ya kumsaidia mnaanza kumkejeli. Pages tatu zote, asilimia kubwa ya comments ni za kejeli. Lakini deep down, wapo ambao pia wamejiunga.

2,300 ni hela ndogo, ila haipaswi kwenda kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Alijiunga akiwa anaridhishwa na huduma. Pengine sasa hafurahishwi nayo. Zipo subscriptions nyingi tu, watu hujiunga na baadae hujiondoa.

Mkuu mleta mada, tafadhali uje hapa ujibu maswali yafuatayo. Mimi nitakusaidia kujitoa;
1. Ulitumia njia gani kujiunga? Kadi ya benki ama Mobile Wallet cards?
2. Kama ni hizo za simu, je ni ya mtandao gani?

Raia Fulani
Kadi ya benki
Kuhusu mtandao, aidha ni tigo au wifi
 
Back
Top Bottom