Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

Wabongo bhana 😁😁,
humu kila mtu hajajiunga Ila thread za mavitu ya mange huwa zinapata comments na views za kutosha. Bado connection za mastar akizivujisha, kila mtu anaomba desperately

Mange anachukiwa Ila vitu vyake vinapendwa, kila mtu hajajiunga Ila mange anaingiza millions of shillings kila mwezi. Wabongo wenzangu em make it make sense 😁
 
mimi binafsi habari zake alipoleta instagram basi sitaki heka heka mimi yani umbea mpaka nilipie nop, ata ikitoka connection kama haijanifikia basi
 
Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Hahahaha...
Unaweza kukuta huyu ni mwanaume kabisa anamiliki mke na watoto juu😁
 
JF inapoteza uthamani wake kila kukicha.

Mkuu amekuja hapa na ombi. Badala ya kumsaidia mnaanza kumkejeli. Pages tatu zote, asilimia kubwa ya comments ni za kejeli. Lakini deep down, wapo ambao pia wamejiunga.

2,300 ni hela ndogo, ila haipaswi kwenda kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Alijiunga akiwa anaridhishwa na huduma. Pengine sasa hafurahishwi nayo. Zipo subscriptions nyingi tu, watu hujiunga na baadae hujiondoa.

Mkuu mleta mada, tafadhali uje hapa ujibu maswali yafuatayo. Mimi nitakusaidia kujitoa;
1. Ulitumia njia gani kujiunga? Kadi ya benki ama Mobile Wallet cards?
2. Kama ni hizo za simu, je ni ya mtandao gani?

Raia Fulani
 
Hii ndo nchi inayolalamikia maendeleo. Uliingia huko ukijua kuna mbususu za bure .pu..................f in Mwabukusi voice
 
Back
Top Bottom