Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Pumbavu, umekimbia uzi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tatizo mahali sio bureMwanamke unajiitaje Pablo?
sasa kuna tatizo gani by the way pablo ni mume wanguKuna tatizo mahali sio bure
mimi binafsi habari zake alipoleta instagram basi sitaki heka heka mimi yani umbea mpaka nilipie nop, ata ikitoka connection kama haijanifikia basiWabongo bhana 😁😁,
humu kila mtu hajajiunga Ila thread za mavitu ya mange huwa zinapata comments na views za kutosha. Bado connection za mastar akizivujisha, kila mtu anaomba desperately
Mange anachukiwa Ila vitu vyake vinapendwa, kila mtu hajajiunga Ila mange anaingiza millions of shillings kila mwezi. Wabongo wenzangu em make it make sense 😁
Tena kaunga kadi yake ya bank kabisaa 🤣Ni mwanaume kwani?kama ni mwanaume nasemajee Achapwe viboko!
Sawa Mwarabu wa Kisiju,ilaWewe si nilishakukataza kujilengesha kwangu? mbona unakua na kichwa kigumu?
Kama unawashwa sana tafuta wa level yako akukune.
Hahahaha...Wakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Hilo swali utamuuliza wa level yako siku akikukuna.Sawa Mwarabu wa Kisiju,ila
Umenikumbusha lile shauri la mkunwa na mkunaji apataye Raha ni nani?
Well said.... acha nizitafute zaidiNamshukuru Mungu....pambana mdogo wangu,utu wa mtu hupimwa Kwa kitu
Mwarabu mweusi una hasira sana,,,sisi wazalendo tushasema Hatutaki bandari yetu Hatutaki!Hilo swali utamuuliza wa level yako siku akikukuna.
Wajinga ndio waliwao. Unafikiri mange kimambi ataishi vipi? 😂One man down
Naunga mkono hoja 👍👏Sasa 2300 kwa mwezi ndio unakuja kulalamika hapa.
TZ ina vijana wa hovyo sana
Mwanamke shababi. Wa kuigwa. Mama la wa mama. Sio hawa wa Mange app.Mwanamke unajiitaje Pablo?