harfiz allyy
Senior Member
- Sep 28, 2023
- 157
- 248
Lione hili nyau sasa.wewe umeyajuaje hayo kama huna app yake?Halafu Mange mjanja yupo busy kukataza watu wasiende Kwa nabii wakati hata yeye mpigaji kama anavyowaita hao manabii.......Ila Bora nimpe Sadaka Malisa kuliko huyo psychopath
Kuna jitu huko juu linaitwa joannah linakata viuno kwenye huu uzi kuwapondea wanaomiliki hio appWabongo bhana 😁😁,
humu kila mtu hajajiunga Ila thread za mavitu ya mange huwa zinapata comments na views za kutosha. Bado connection za mastar akizivujisha, kila mtu anaomba desperately
Mange anachukiwa Ila vitu vyake vinapendwa, kila mtu hajajiunga Ila mange anaingiza millions of shillings kila mwezi. Wabongo wenzangu em make it make sense 😁
amesema Pablo nijina la mumewewe ni me 100%
nimekosea kumtag..skumaanisha huyu mimi..nilimaanisha mtoa mada ni meamesema Pablo nijina la mumewe
nikama wewe ungetuma tu hio Besyige
unaushahidi Gani Kuwa yeyé ni dume 100%?
una ushahidi gani?nimekosea kumtag..skumaanisha huyu mimi..nilimaanisha mtoa mada ni me
wakati kila siku tunabembelezana mlipie kidogo JF hamtaki ila mkishapigwa huko mnakuja kulalamikia huku....kuna shidaWakuu za asubuhi
Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi?
Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta akaunti yangu inashindikana. Maelezo niliyopewa kama nilijisajili kupitia app store basi niingie huko nikiona hiyo app ni unsubscribe. Wala sijaiona. Mange mwenyewe hajibu meseji zangu kupitia platform zake. Nia yangu niachane na hiyo app tu kwa sasa. Wazee wa tech tafadhali
umbea raha starehe yake jamaniMwanaume unakaa unalipia app ya Udaku..
Ww wasikupe msaada mpaka useme ulifata nini huko.
Raw materials zinatoka bongo, zinasafirishwa hadi Ulaya na Marekani. Huko zinakuwa processed na kuwa manufactured then zinarudushwa kwenu bongo kuuzwa kwa bei ya juu kama products.Mtu yeyote tena Mtanzania anayemlipa mtu wa US tena mwanamke ili ampe habari za umbea toka katika nchi ambayo anaishi huyo ni kichaa
Ni kichaa
Mwehu
Mhmm!!? Pablo mwanamke??mie mwanamke tuu sina hiyo app inakuwaje we dume la mbegu una hiyo app ndo maana mama samia alisema wanaume ndo wanaongoza kwa umbea
haa ha..daah jamaa anajutaGharama ya ujinga ni kubwa
mshamba wewe.kwenda zakonipishe hebu..zoea hao hao..unikome
Dah! sijaamini kilichotokea hapa. Page 3 za mashambulizi? Nakumbuka nina threads za kutosha za maana ila hazina hata page mbili za uchangiaji. Wanaojiita wa busara ndio hao wanaochafua jukwaa hili kwa kejeli. Wanachojua ni mipasho tu. Hii ni hatari kwa taifa. Ningekuwa chitchat sawa, ila hapa natafuta ufumbuzi wa ishu iliyotokea. Hao hao wanaoponda hapa ukiwachunguza ni hodari kwa habari za udaku. Nimewasamehe.JF inapoteza uthamani wake kila kukicha.
Mkuu amekuja hapa na ombi. Badala ya kumsaidia mnaanza kumkejeli. Pages tatu zote, asilimia kubwa ya comments ni za kejeli. Lakini deep down, wapo ambao pia wamejiunga.
2,300 ni hela ndogo, ila haipaswi kwenda kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Alijiunga akiwa anaridhishwa na huduma. Pengine sasa hafurahishwi nayo. Zipo subscriptions nyingi tu, watu hujiunga na baadae hujiondoa.
Mkuu mleta mada, tafadhali uje hapa ujibu maswali yafuatayo. Mimi nitakusaidia kujitoa;
1. Ulitumia njia gani kujiunga? Kadi ya benki ama Mobile Wallet cards?
2. Kama ni hizo za simu, je ni ya mtandao gani?
Raia Fulani
Kadi ya benkiJF inapoteza uthamani wake kila kukicha.
Mkuu amekuja hapa na ombi. Badala ya kumsaidia mnaanza kumkejeli. Pages tatu zote, asilimia kubwa ya comments ni za kejeli. Lakini deep down, wapo ambao pia wamejiunga.
2,300 ni hela ndogo, ila haipaswi kwenda kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Alijiunga akiwa anaridhishwa na huduma. Pengine sasa hafurahishwi nayo. Zipo subscriptions nyingi tu, watu hujiunga na baadae hujiondoa.
Mkuu mleta mada, tafadhali uje hapa ujibu maswali yafuatayo. Mimi nitakusaidia kujitoa;
1. Ulitumia njia gani kujiunga? Kadi ya benki ama Mobile Wallet cards?
2. Kama ni hizo za simu, je ni ya mtandao gani?
Raia Fulani