Jinsi ya kujua kirahisi ukubwa wa tatizo la corona jiulize kwenye ukoo wako wamekufa wangapi kwa Corona?

Jinsi ya kujua kirahisi ukubwa wa tatizo la corona jiulize kwenye ukoo wako wamekufa wangapi kwa Corona?

Kwangu amefariki babu, lkn wkt anatibiwa hospital hawakuwahi kusema ni corona, alipofariki tu wakasema ni corona. Hakuna aliyewaamini maana ni ujinga tu. Mtu amestaafu utumishi 10yrs back, kufa kwa pressure related disease ni kawaida.

Hadi sasa ndugu jamaa na marafiki walioingia hofu wakidhani waliyemuuguza amekufa kwa corona, hakuna aliyewekwa isolation na hakuna aliyeathirika kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeweka hapo kuwa angalia kwenye ukoo wangapi wana maambukizi wanaumwa .rudia kusoma

Hebu tuanze na ukoo wenu mkuu, tuambie kwanza wameugua wangapi na kufa wangapi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hebu tuanze na ukoo wenu mkuu, tuambie kwanza wameugua wangapi na kufa wangapi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hamna aliyeugua corona wala kufa kwa corona kwenye ukoo wetu wote
 
Kujua kirahisi kama tatizo la corona in kubwa sana Tanzania au la jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?

Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.

Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi wawe Wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.
Mkuu

Siku chache zilizopita hapa Mtaani kwetu tumepoteza wazee wetu wawil pale Mloganzila.. Tumeaga picha tu maiti tumezikuta kaburini

Kijijini kwetu pia tumepoteza wawili kule...

Korona Ipo

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Mungu yu pamoja nasi kwa virusi hivi vya corona wazungu wametukosa watafute virusi vingine watuletee

Vile vya HIV walifanikiwa kutuua lakini hivi wametukosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa hii njia yako sio sahihi, kwa sababu hao wagonjwa/vifo vitakuwa havija thibitishwa kwa vipimo.

Na madhali wa wathibitishaji wameamua kutothibitisha, basi wacha watu wadhanie vile watakavyo
dhania, usitake kuwashika vichwa.

Kusema watu waangalie koo zao ni kuruhusu ile dhana ya kuwa kila kifo ni korona, na kila mgonjwa basi anakorona.

Kwa sababu hakuna uthibitisho wowote, maana maabara haifanyi kazi.

Japo si wote lakini kama tutaangalia katika koo zetu, ni lazima tutakuta tunawagonjwa au waliofariki.

Sasa ukiambiwa wagonjwa hao au waliofariki wanakorona utakubali?
 
Mimi kwa upande wangu hakuna ndugu yangu yeyote alofariki kwa Corona, pia ninapoishi ili nifike mjini lazima nipite njia ya makaburini lakini sioni miili ya watu ikihifadhiwa wala kusikia msiba mtaani kwangu, kwa kifupi tunaendeleza shangwe kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengine wanashangaza sana, Mungu ametupigania na kutuokoa na janga la corona halafu wengine wanabeza na kupinga!! Kifo hakina siri hata kidogo. Isingekuwa hivyo kufikia sasa hasa kwa Dar kila familia ingekuwa imeguswa kwa namna moja au nyingine na covid 19.

Watu wameepushwa halafu wanatamani ingekuwa kinyume chake! Kisa , eti kwa sababu tu hawampendi kiongozi wa nchi kwa sababu aidha walitumbuliwa kwa ufisadi wao wenyewe au ndugu zao, au waliachishwa kazi kwa kuwa na vyeti fake au walibomolewa nyumba zao kwa kujenga kwenye eneo la barabara au wako kwenye chama cha upinzani.

Naomba ndugu zangu tuungsne kumshukuru Mungu katika hili!! Tusibeze rehema za Mungu kwetu maana bado kuna kesho.
Hakuna vifo vingi vya corona Tanzania, tungeviona na kuvisikia kwenye jamii hasa kwa kuwa Rais ameagiza watu kuzika ndugu zao ikitokea wamefariki kwa corona.
 
Kujua kirahisi kama tatizo la corona in kubwa sana Tanzania au la jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?

Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.

Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi wawe Wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.
Utakuwa tayar kuzipokea au umeshajiandaa kupinga nazo zikija?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu amefariki babu, lkn wkt anatibiwa hospital hawakuwahi kusema ni corona, alipofariki tu wakasema ni corona. Hakuna aliyewaamini maana ni ujinga tu. Mtu amestaafu utumishi 10yrs back, kufa kwa pressure related disease ni kawaida.

Hadi sasa ndugu jamaa na marafiki walioingia hofu wakidhani waliyemuuguza amekufa kwa corona, hakuna aliyewekwa isolation na hakuna aliyeathirika kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asa ukiwa umestaafu 10 yrs back ndo huwez kufa kwa corona?..jamani hii nchi ina watu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli labda itakuwa hujui au ni wale ambao mtu akifa mnaamini amerogwa.. Chunguza upande wa mama pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni vitu nimekuambia kwenye ukoo wangu hakuna aliyekufa unaniletea mambo ya kurogwa tena.Hata hivyo Corona hakuna Tanzania vipimo vilikuwa feki, majibu feki, mpaka wapimaji Feki so acheni porojo hakuna huo ugonjwa sasa mnaangaliaje ukubwa wa Tatizo kwa Familia kuguswa
 
Back
Top Bottom