BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Sipendi watu wanaokurupuka kuandika bila kusoma. Rudia kusoma ndiyo uchangie.YEHODAYA, Kunaweza kusiwe na vifo. Kukawa na maambukizi ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi watu wanaokurupuka kuandika bila kusoma. Rudia kusoma ndiyo uchangie.YEHODAYA, Kunaweza kusiwe na vifo. Kukawa na maambukizi ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uwaambie misukule ya ufipa nyungu na kuchukua tahadhari ndio mbinu peke ya kudhibiti corona walau kwa sasaVipi kabombe mbona maneno mingi alfajiri yote hii? Ni wapi nimepotosha?
Mimi tiba zangu ni za asili na nyungu naipiga sana. Na nimefanya hivyo hata kabla ya matangazo ya wanasiasa.
Jr[emoji769]
Ila nyie ndio washauri wa Mbowe?hawa ndio washauri wa JPM msiwaone tu humu mkadhani wanaishia JF ni hawahawa mpaka wizarani
Sasa hawa wa mitandaoni kina G sam wanaosema hali mbaya kila kona vifo hizo data wanatoa wapi mbona basi hawaleti shuhudaWe jamaa hii njia yako sio sahihi, kwa sababu hao wagonjwa/vifo vitakuwa havija thibitishwa kwa vipimo.
Na madhali wa wathibitishaji wameamua kutothibitisha, basi wacha watu wadhanie vile watakavyo
dhania, usitake kuwashika vichwa.
Kusema watu waangalie koo zao ni kuruhusu ile dhana ya kuwa kila kifo ni korona, na kila mgonjwa basi anakorona.
Kwa sababu hakuna uthibitisho wowote, maana maabara haifanyi kazi.
Japo si wote lakini kama tutaangalia katika koo zetu, ni lazima tutakuta tunawagonjwa au waliofariki.
Sasa ukiambiwa wagonjwa hao au waliofariki wanakorona utakubali?
Umemuelewa?Asa ukiwa umestaafu 10 yrs back ndo huwez kufa kwa corona?..jamani hii nchi ina watu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini tz masikini sio kwa bahati mbaya ni kwa sababu ya ujinga wa watu wake. Tz kama nchi tupate ukweli kutoka kwenye ukoo na familia?Kujua kirahisi kama tatizo la corona in kubwa sana Tanzania au la jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?
Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.
Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi wawe Wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.
Acha uongo wewe kwenye ishu ya UKIMWI huo ukoo haupo.Nenda kasome Mambo ya Walawi sura ya 13,14 mpaka sura ya 15 huu ujinga mpaka sijui afe kwa Corona ndio ionyeshe upo ni ujinga tu kama ujinga mwingine cha msingi fata maelekezo ya Watu wa Afya na uache kujidhalisha mkuu Ukimwi upo na kuna familia hazijawahi pata toka umeingia.
Mkuu uko sahihi sana. Juzi nilieleza watu kwamba kwenye mradi ninaofanya kazi kuna watu 4,500 ambao watu hao pia wana muingiliano mkubwa na wananchi wengine kwa sababu zaidi ya 80% wamepanga mitaani. Lakini cha ajabu ni kwamba tangu Januari 2020 hakina kifo cha aina yoyote kinachotokana na ugonjwa wa aina yoyote.Kujua kirahisi kama tatizo la corona in kubwa sana Tanzania au la jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?
Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.
Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi wawe Wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.
Wewe mwenye justification ambayo ni justified Lete hapa Mezani... lakini sio taarifa za kigogo and companyKweli nimeamini tz masikini sio kwa bahati mbaya ni kwa sababu ya ujinga wa watu wake. Tz kama nchi tupate ukweli kutoka kwenye ukoo na familia?
Kwa hiyo zikijitokeza hapa familia zikisema hakuna hata mtu mmoja alokufa ndiyo justification ya kuwa hakuna vifo!
Kumbe Tz tatizo ni wananchi
Nani ametangaza umekwisha wakati nimemsikia Magufuli leo Dodoma anasema ugonjwa upo lakini umepungua?
Kama tu wanandoa wanafichana kumbe mmoja anao. Sembuse mwanaukoo kujua!!!Ukoo wetu haujaguswa tangu umeanza huo ukimwi.