Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya coin si kila kitu!
View attachment 3191565

Leo, hebu tuzungumzie mambo mawili muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kabla hujaruka na kuwekeza kwenye coin yoyote: MARKET CAPITAL na PRICE TAG. Vitu hivi viwili vinaweza kuonekana kama mapacha, lakini vina tofauti kubwa ambayo kila mwekezaji anapaswa kuielewa

Watu wengi huchanganya mambo haya kwa sababu ya kufikiria kwa haraka. Unakutana na coin kama Shiba Inu, ina bei ya chini sana $0.00002261. Halafu unaona coin nyingine kama AAVE, yenye bei ya $321. Bila kufikiria mara mbili, unaweza kusema, “Nitanunua Shiba Inu! Bei yake inaweza kufikia Bitcoin siku moja!” Lakini, ukweli ni kwamba hii si kweli hata kidogo.

Ngoja nikueleze kwa mfano rahisi. Pichani hapo chini tuna coin tatu: Bitcoin, Shiba Inu, na AAVE. Bitcoin, ambayo kila mtu anaijua, ndiyo ya kwanza sokoni kwa thamani, lakini pia ina bei kubwa mno zaidi ya $96,000 kwa coin moja. Shiba Inu inashika nafasi ya 15 ikiwa na thamani ya $0.00002261 kwa thamani ya jumla na AAVE, kwa upande mwingine, iko nafasi ya 31 na bei yake ni $321 lakini kwenye rank inaonekana kuwa chini ya Shiba Inu.

View attachment 3191563

Sasa, kuna kitu kinaitwa market cap, ambacho kinatumika kupima thamani halisi ya coin sokoni. Formula ni rahisi;
Market cap = Idadi ya Sarafu zilizopo sokoni x Bei ya sarafu moja
BITCOIN

= 19,805,021 BTC X $96,474.26
Market cap = $1,911,085,944,894.46.

View attachment 3191561

AAVE

Market cap = 15,038,887 AAVE X $321=$4,839,664,225
Market cap=$4,839,664,225
Kwahiyo ili coin yoyote ipande bei mara mbili, inahitaji pesa zaidi iwekezwe sokoni. Kwa mfano,bei ya AAVE kwa sasa ni $321 kwahiyo ili AAVE ipande kutoka $321.81 hadi $643.62, inahitaji market cap yake iongezeke mara mbili kutoka $4,839,664,225 na kufikia $9,679,328,450

View attachment 3191560

SHIBA INU
Lakini kwa Shiba Inu, safari ni ndefu zaidi. Itahitaji market cap yake iongezeke kutoka 13,334,727,500 mpaka 26,669,455,000

=589,250,000,000,000 SHIB X $0.00002263
Market Cap= 13,334,727,500

View attachment 3191559

Hii inaonyesha kuwa ingawa Shiba Inu inaonekana kuwa na bei rahisi, inahitaji pesa nyingi zaidi sokoni ili bei yake ipande. Kwa upande mwingine, AAVE, licha ya bei yake kuwa juu, ni rahisi kupanda kwa sababu idadi ya sarafu zake sokoni ni ndogo.

Kwahiyo unapofananisha coin yoyote ile na coin nyingine Usiangalie bei ya hiyo coin iliyopo sokoni ( price tag) bali angalia Market cap yake. Na taarifa kama hizi unaweza ukazipata kwenye website kama Coin market cap na Coin gecko
1. Coin zilizopo sokoni (circulating supply)
2. Price ya coin
3. Market cap ya hiyo coin ni kiasi gani

Kwahiyo kabla hujanunua coin yoyote tumia market cap kwanza kuzicompare usitumie bei iliyopo sokoni utapotea

View attachment 3191558

NB: Usione coin ina bei ndogo ukajua basi ndio bei rahisi HAPANA mfano mzuri tumechukua Shiba Inu na AAVE tumeona AAVE ana bei kubwa kuliko Shiba Innu lakini kimahesabu tumeona coin ambayo ina bei rahisi ni AAVE mwenye bei ya $321 kwa sababu anahitaji pesa kidogo tu ili hela yake ijidouble ukifananisha na Shiba Inu ambaye anahitaji pesa nyingi sana ili aweze kupush price yake iende mara mbili.
View attachment 3191556
Unazungumziaje kuhusu ujio wa Picoin,......je watu wapewe link ili wachimbe?,.......chochote kinaweza kutokea au wapuuze tu?,
 
Mkuu hiyo website Labda kama Kuna namna yake ya kuitumia au wamepata changamoto, baada ya kuingia humo kila unapo click "start course" hairespond chochote, c kwa beginner Track, intermediate Wala level yoyote. Ukipata muda itembelee
 
Ufafanuzi mzuri Sana mkuu. Binafsi nipo hatua za awali kujinoa kuhusiana Crypto. Kama hutojali, any recommed books/sites vitakavyosaidia kutengeneza good foundation. Now nipo "Cryptocurrency investing for dummies" by Kiana baada ya kumalizana na "The basics of bitcoins and blockchains" by Lewis
 
Back
Top Bottom