Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

Usitumie BANGI. Serikali Haipendi
 
Huna akili. Na una matatizo kichwani
 
Tunataka kujua kiwango halisi ili na sisi wafanya biashara tupandishe Bei bidhaa zetu. Ova!
 
Umeongea pumba tuu,waachie wenye fani
 
Ongezeko la 23% ni kwa wanaopata kima cha chini

Wengine mtajikuta na ongezeko hata la 7%
 
Kamdanganye poyoyo
 
Very correct
 
Kwa ufupi sana, kwa hiyo hapo 28% uliyotolea mfano, just chukua mshahara wako wa zamani zidisha na 1.28 utapata mshahara mpya
 
Mwaka 2017 mzee Dr. Mohammed Shein alitangaza nyongeza ya 100% kwa kima cha chini.

Wazenji wote tukashangilia Sana, na tukaanza kuzidisha mara mbili mishahara yetu.

Kumbe neno kima cha chini lina maana sana.

Wenye akili wamenielewa
Yaani walioongezewa ni hao kima cha chini tu, wewe kama siyo kima cha chini endelea na mshahara wako wa 1947
 
Ingekuwa hivyo basi kuna siku watumishi wa ngazi za chini wangelingana au kuwazidi watumishi walio juu yao. Ngoma inaongezeka kote kote, kuanzia chini hadi juu
 
Ina Maana kwa 23.3% kwa TGTS E
Ni sawa na 1.233× 940000/= 1159020/=? Kweli!!?nashangaa sana wakuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…