Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Pesa dot com
 
Nina uhakika umri wako hauzidi miaka 24 na miezi 5.
Bado mshamba sana kwa hawa viumbe.
Nasubiri ukikua utakuja kuukataa huu Uzi wako
Bila shaka wewe ni mhanga wa kutafuta heshima pasipo kujiheshimu.

Una haki ya kuwaza ulivyo waza, Ila huu ukweli nimeuweka hapa, mie sio mvulana
 
Mwisho kabsa umaskini ni laana tupinge umaskini
Kwa nguvu zote mkuu.kuna kipind hali ni ngumu hadi naenda angalia mpra bar af kiingilio ni kinywaji au 500.mhudumu akija ananiambia toka nje mbele ya watu dah kosa hela/kaz ni changamoto.Mungu kajalia nimepta chimbo na pata vichenji ile pisi kila jion inalala kifuan na kunishika shika ndevu😃😃😃 ndo nikajua umasikin ni mbya.
 
Huo muda wa kupoteza kumridhisha mwanamke mngeutumia kujiongezea kipato ingekuwa na maana sana.
Kwa wengi wenu kuoa imekuwa utumwa!
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mwisho kabsa umaskini ni laana tupinge umaskini
Kwa nguvu zote mkuu.kuna kipind hali ni ngumu hadi naenda angalia mpra bar af kiingilio ni kinywaji au 500.mhudumu akija ananiambia toka nje mbele ya watu dah kosa hela/kaz ni changamoto.Mungu kajalia nimepta chimbo na pata vichenji ile pisi kila jion inalala kifuan na kunishika shika ndevu
Mrembo .tufie kwenye kupambana na umasikin cio kitu cha kujivunia hasa saiv kwa wanaume una hela upati demu/mke.
 
Mkuu umemaliza kila kitu,big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…