Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

Aisee kweli tupu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuishi kibachela ndani ya ndoa hakutawaacha salama wanaume watalalamika na wataendelea kuleft mbaka muishe tuanze kujioa.
 
Haha sawa, fanya uonavyo mwisho utarudi kwenye nilichokiandika
Tatizo la hofu linawasumbua wanaume wengi, tulia mkuu hivi viumbe visiwe tishio kwako na wanaume wote wanaokataa ndoa
 
Hakuna formula ishini mnavoona ni sahihi bila kufake ama kutegeana mwanaume mpende mkeo, mke mheshimu mumeo• full stop
 
Mkuu sema usemavyo ila mwisho kabsa mchawi pesa.
Napingana na wewe pesa sio kila kitu
Juzi juzi tu hapa tumetoka kushuhudia ndoa za matajili wa wakubwa zimevunjika na wanapesa za kutosha mfano Bill gate na wengine wengi.ukichunguza watu wenye pesa hawana muda na wapenzi wao they so busy kutafuta pesa na siku zote ukae ukijua mapenzi yana nafasi yake katika maisha ndio maana watu wenye pesa hawadumu katika ndoa.
 
Jf bwana kuna wakati wanawake wa humu wanaangusha nondo mpaka unakumbuka zile debates za shule na unasema kweli wanawake watu.
Ebwana ujidanganye uoe ndio utajua kwa nini shetani aliongea na eve na sio adam
 
Tatizo la hofu linawasumbua wanaume wengi, tulia mkuu hivi viumbe visiwe tishio kwako na wanaume wote wanaokataa ndoa
point yangu umeielewa lakini? sijazungumzia masuala ya hofu mimi nimesema haya yaliyoandikwa hapo kwenye uzi hayatoshi kufanya uheshimike na mwanamke.... Heshima inaanzia kwa mwanamke mwenyewe alivyo na alivyokuwa na alivyolelewa.
 
Aisee....ila mwanawane pesa ndio kila kitu kwenye mapenzi. Na utambue kuwa sio lazima yawe ya kufa na kuzikana au yaishie kwenye ndoa.
Kunyanduana na kuenjoy na mrembo nayo mapenzi.
 
Heshima inaanzia kwa mwanamke mwenyewe alivyo na alivyokuwa na alivyolelewa.
Na heshima yake itadumu ikiwa mwanaume anaye mheshimu naye anajiheshimu.

Nasisitiza kabisa ikiwa mwanaume hajiheshimu asitegemee kupata heshima ya mwanamke
 
[emoji17][emoji846]
 
Na heshima yake itadumu ikiwa mwanaume anaye mheshimu naye anajiheshimu.

Nasisitiza kabisa ikiwa mwanaume hajiheshimu asitegemee kupata heshima ya mwanamke
yaani mtu hana heshima umuheshimu?? mkuu unaandika nini ila sawa wapo wanaokuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…