Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Kabisa mkuuYote haya inategemea umepata mwanamke wa aina gani. Kama ni mwelewa na mwenye exposure ukimtendea haya aisee mtakuwa washikaji sana na wenye ndoa yenye furaha. Vinginevyo utaishia kuitwa boya tu maana wenzetu hawa hawajawahi kueleweka hasa wanataka nini [emoji16]
Ikiwa wewe ni muhanga wa kukosa heshima mbele ya mke ulipaswa ujifunze kupitia huu uzi, Ila shida yetu wanaume tu wabishi sanayaani mtu hana heshima umuheshimu?? mkuu unaandika nini ila sawa wapo wanaokuelewa.
sawa, tuseme wewe ndo mwanaume wa mfano... kina Sophy wanakuja dm kwakoIkiwa wewe ni muhanga wa kukosa heshima mbele ya mke ulipaswa ujifunze kupitia huu uzi, Ila shida yetu wanaume tu wabishi sana
Nahakika wewe ujaoa.wanawake hadi leo hawajaeleweka wanataka niniAisee....ila mwanawane pesa ndio kila kitu kwenye mapenzi. Na utambue kuwa sio lazima yawe ya kufa na kuzikana au yaishie kwenye ndoa.
Kunyanduana na kuenjoy na mrembo nayo mapenzi.
Wakija watakutana na gospel articles tu 😂kina Sophy wanakuja dm kwako
🤣🤣🤣🤣 Kwanza hongera kwa kumpa shem anachotaka. Mbususu haisiswi kamwe!Nahakika wewe ujaoa.wanawake hadi leo hawajaeleweka wanataka nini
Nakutolea mfano wa kweli.
Mimi nilikuwa na rafiki yangu.
Jamaa alikuwa anaishi na mwanamke ila ajafunga nae ndoa na jamaa alikuwa ana kila kitu kunizidi mimi .
Pesa alikuwa nazo za kutosha alikwa ni askali na anakitengo kikubwa tu jeshini .tulizoeana nikawa naenda kwake na hadi mkewake akanizoea ikawa shemeji shemeji . jamaa yangu alienda kozi yule shemeji yangu akawa ananiletea pigo za kunitaka kwa sababu alikuwa mzuri na mimi nikanasa kwenye mtego wake ila nilijuta sana kumsaliti jamaa yangu na nilimuuliza shemeji yangu umenipendea nini wakati jamaa ana kila kitu kunizidi .alichonijibu eti amependa ninavyo tabasamu.nilichoka hadi sasa sielewi hawa wanawake wanataka nini.
KabisaWanayo fomula nayo ni hii "hawapendi kudharauliwa" hivyo yeyote anaye wadharau hawawezi kumheshimu
Unawezaje kwenda kuiba bajaji ilihali una v eksi eite ndani ya nyumba?wanaume tunakuwa na matamanio ya kuonja papuchi nyingine ata kama tuna mke mzuri ndani ya nyumba.
Kumbe tunasoma nyuzi za Wanachuo😅😅😅Mtoe out mkacheze muziki mkiwa mmekumbatiana kwa mahaba mazito kila weekend
Kama wewe hujawahi kushukudia Madudu ya mwanamke wako, Basi anakuheshimu na Ujinga wake anafanyia Mbali!Naona kama waliwahi kukutoa nishai vile, je ni kweli ?
Nashangaa Sana mkuu[emoji38][emoji38] imenibidii nichekee.Kumbe tunasoma nyuzi za Wanachuo[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio ni tamaa na kama mwanadamu tuna mapumgufu yetuUnawezaje kwenda kuiba bajaji ilihali una v eksi eite ndani ya nyumba?
Huo ni uovu na tamaa mbaya
Shukrani sanaNitakusubiri pale kwenye maghorofa ya NHC Ngarenaro mkuu
Ila mkuu haya mambo ya kuwakojoza hawa viumbe yamekuja miaka ya hivi karibuni , bibi zetu na mama zetu wakisikia haya watashangaa sna wanawake wanakojoa kitu gani.1.mkojoze
2. Mkojoze
3. Mpe Pesa
4. Mpe Pesa