Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

Hizo drama ukimfanyia mtoto wa darasa la 7 mpaka form 4 ndio utawakamata au wanawake walioko nje ya muda wale miaka 37 and above .

Hawa walioua 6 kufika chuo kikuu wakapigwa mikuyenge ya kila aina na starehe za gharama kulala mahotelini kama popo hapa mjini wao ni pochi tu! Ukiingia kwa gia yeyote hakikisha una pesa tu ya kusimamia pambano! Ukionesha choka mbaya tu ujue imekula upande wa dereva 😂😂😂
Hahahaha
 
Kuna watu wanashindwa kutofautisha suala la mapenzi yaani upendo na pesa kwa kudhani kuwa pesa ndio itakufanya uwe salama katika mapenzi jambo ambalo si sahihi hata kidogo

Labda kama unataka slay queens hapo pesa itahusika lakini kama na hao slays wana hisia maana yake na wao wana watu wanaowaependa sasa wewe mpe hela na yeye anampelekea mtu wake hapo umepigwa tu na hela zako

Pia kuna kufanya mapenzi na kumaliza hamu za kijinsia sasa hao wanaosema kila kitu pesa humaliza tu hamu na si kufanya mapenzi kitu ambacho hata nyeto inaweza

Ushauri;tafuta pesa ili kukimu maisha na usitegemee pesa kukimu mapenzi au upendo

Sehemu ya mapenzi na upendo ukiweka pesa umefeli
Na sehemu ya pesa ukiweka mapenzi au upendo umefeli kwa sababu pesa ni kwa ajili ya maisha yahitajiyo pesa na si kwa ajili ya upendo na mapenzi
ngumu kumeza
 
Hakuna limbwata mkojoze tu
Screenshot_20220120-123450.jpg
Screenshot_20220120-123429.jpg
 
Yalopita si ndwele tugange yajayo wana Simba !! Ila kufungwa na Utopolo kunaumiza sana.

Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!.

Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA MWANAMKE ASITAMAN KUACHANA NAWEWE.
Hii mbinu ni mbinu ambayo kama ni Mpenzi au mke ATAENDELEA KUKUONA KAMA SHUJAA WAKE.

[emoji117]Twendeni taratibu ili mnielewe [emoji116]

Mnaikumbuka hii tamthiliya( sijui ya nchi gani ile) iloisha majuzi hapaa ,ikaisha yule jamaa wenu maarufu amekufa ?
Watu mkaja na Nyuzi za kuhudhunika sana hata humu JF, huko mitandaon Twita, FB, IG, wasap n.k mkaonyesha hudhuni zenu sanaa

[emoji101]WANAWAKE WAKALIA KABISA NAKUTOA MACHOZI, WAKAPOST MAJONZI MAJONZI ....unamuuliza, kulikon? , anakujibu ,Tamthiliya yangu imeisha vibaya???

Yaaan Ulishawahi jiuliza kwann watengenezaji wa Tamthiliya au Movie , HUTUMIA AKILI KUBWA SANA kuhakikisha wanavamia Akili yako na kutawala HISIA zako kiasi kwamba kuna mahali WANAKUFURAHISHA SANAAA na kuna mahali WANAKULIZA MPAKA MACHOZI ???.......uliwah jiuliza kwann??? .

Kama hujanielewa, Embu fikiria habari ya Kitabu fulan chenye hadithi za kusisimua, kuna wakati umesoma ukawa unacheka, nakuna wakati mwandishi anakuumiza namachozi yanakutoka???

[emoji117]HIVO NDIVO AKILI YA MWANADAMU INAVYOTENDA KAZI, LINAPOKUJA SUALA LA HISIA.

SASA iko hivi, Wanawake wanaishi kwa HISIA yaan chochote unachokisema unachokitenda anakitafasiri kwa hisia.

Swali linaweza kua, Nawezaje kumfanya mwanamke awe mtumwa wangu wa Hisia na anitetemekee, nikimwambia tuachane, alieee kama mtoto, anibembeleze sanaaaa ?? Nawezaje ???.

( Usishangae Broo, inawezekana 100%, watakulilia, nahuu sio unyanyasaji, ILA NITOE ONYO, USIFANYE HILI KAMA HUNA UHAKIKA WA KUMPENDA/KUDUMU NAHUYO MWANAMKE ).

kwa sababu Siku ukimwambia Nakuacha, utakua umemuumiza sana, maumivu yake ni zaidi ya maumivu ya Msiba.

[emoji117]NJIA PEKEE YA KUMFANYA MWANAMKE/MKEO AWE MTUMWA WAKO WA KIHISIA YAAN ( kama ni wao wanasemaga nimempa Limbwata Mwanaume)[emoji116]

[emoji101]NI KUHAKIKISHA UMEHACK UBONGO WAKE NA KUULAZIMISHA UAMINI KUA ,RIDHIKO LA HISIA ZAKE YAAAN FURAHA YAKE INAKUTEGEMEA WEWE TU.

Sasa unawezaje kulifanya hilo juu na kumgeuza kua mtumwa.....

Ni rahis tuu katika mazungumzo yenu ya kila siku yaan Kila siku, japo pia unaweza ukawa huifanyi kila kila siku

Hakikisha sana[emoji116]

1-[emoji117]Mpe Approval ya Sifa zake Mbaya ambazo yaan Sifa zake mbaya , kimaneno, au kiutendaji ili mradi unajua anasifa mbaya...
ana tabia mbaya... Muonyeshe kua anatabia mbaya lkn unaipenda .

2-[emoji117]Mpe Disapproval ya Sifa zake Nzuri... Yaaan kama anasifa nzuri ya kitabia au kiutendan, majukumu, n.k, weweee muonyeshe kua Hiyo sifa yake nzuri wakati mwingine inakuboa.

[emoji101]wakati huohuo uwe unachomekea haya

Fanya hili[emoji117]"HISIA JUU--HISIA CHINI-HISIA JUU TENA"

Hiyo kanuni ,unaweza usiielewe , lkn ni kanuni ambayo unaitumia kumfanya Mwanamke kwa nyakati ,Awe na hisia za juuu yaan kama ni Furaha anakua na furaha sanaaaa.... Baadae kidogo, unaishusha hiyi furahaa, anakua na huzuniiiii--- Baadae tena unaipandisha hisia juuu za furahaa anakua na furaha sanaaaaaaaaaaaa..........

Kwa kufanya ivo unakua una bypass, subconscious mind yake bila yeye kujijua na hali hii taratibu humfanya ajihisi na aamini kua ,wee ndio mwanaume wakumfanya Awe na furaha.

Kwa mfano...... Mnapiga stori na huyo demu wako

Unakua kama.....Jane unajua toka nmezaliwa wewe ni mwanamke ambaye umekua wakitofauti sanaa, urembo wako wa sura,uzuri wa umbo lako na namna unavyopambana kujenga maisha, kunafanya nikuone wee ni Malaika"..( Hisia juu)

Atakujibu...mnaendelea na vstori vistori ,Unamuamisha mada chapu chapu

Hivi unamkumbuka Xxxx??? Kuna movie moja alicheza aisee, anampenda mwanammke wake, mpaka anakuja kumtolea figo yake ili mwanamke apone, lkn baadae Mwanamke anamsaliti Kanumba, Et Xxxxx naye alishakufa......(Hisoa chini, hapa moyo wake unakua na majonzi)

Malizia..."Sema Xxxxx na zile movie zake, amenifunza sana kua mwanamke mrembo mzuri mwema anatakiwa kupendwa,kujaliwa, akamilishwe, apewe furahaaa na amani( hisia juu)

Haka kmachezo, bila yeye kujijua kanakua kanaendelea kumgeuza kua Luba wako kwasababu Mind yake inaendelea kumgundisha nawewe, matokeo yake nikwamba ataishia kuamini we ndio chanzo cha riziko la hisia zake.

[emoji101][emoji101][emoji101]Malizia sasa kwa kuanza kumpa ORDER .
kama umeyafanya hayo juu kwa umakini, hii ni hatua sasa yakuanza kupima Ni kwa kiasi gan amekua mtumwa...

Hatua hii, inahusisha kuchomekea Order nakubaki uangalie Utekelezaji wake

Kwa mfano.. Unamwambi hiviii

"Jane wee ni mwanamke mkaribu, najua uta..............( hapa malizia maneno yako unayotaka ayafanye)

"Janee najua wee ni mwanamke mwenye kujali sana, natumaini uta............

AKITEKELEZA NA KUFUATA ORDER UNAYOMPA....hamna kitu tena , just drive her vyenye unataka !!!

Ila sasa, Nawewe usije anza mtenda maujinga, kwa kumwambia au kumtendea sababu tu unajua Hawezi bila wewe!!
huo muda sina aisee. ili iweje sasa
 
Babu tuongee meengi lakini kama huna Hela na Hujui kusugua mbususu vizuri...
Umeula wa Chuya[emoji1787]
 
Back
Top Bottom