Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 😂😂😂😂😂changamka changamkaaUsiwaze Bibiye wa ubani napata tips za kukufanya unipende 🤣🤣🤣
Mwanamke hata umpe dunia nzima, kama hsumpi unyunba unaojisheleza, huyo atabaki anaungulika maisha, hana furaha ya ndani (inner peace). Ugomvi, kununa, kusikitika hakutamwishia.JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zà o.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.
Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.
Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.
Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;
1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yà ani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.
Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.
Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yà ani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.
Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii à mbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.
2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.
3. Mlishe Chà kula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chà kula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.
Kama uchumi siô rà fiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chà kula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.
4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.
Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's
5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.
6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pà moja.
Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.
Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda à mbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.
Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.
Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zà o kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.
7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.
Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.
Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Enhee sonko bibo hadi huku,!
Bora umwambie🤣Mkuu yaani unamaanisha niache kumfurahisha@Atoto ili umgegede wewe tu na kibunda chako?
HUjanishawishi bado naiona hidden agenda yako hapa.
Bora kubetiJINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Mimi na wewe mpaka kieleweke yaaniMbona sikumbuki, niahidi tena
Hizi tag nazo zinaniumiza macho ujue
Heheheheee 🙄🙄 wa kuruhusu hilo ni mimi nikikutia block utatulia tuMimi na wewe mpaka kieleweke yaani
Haijalish itachukua muda gani
Sitaisaliti nafsi yangu..
Wewee ujasiri wa kuja kuyamwaga haya hapa pia ni tatizo 😒😒 kavunjia ungo ktk ndoa?? Tabia zozote ambazo me/ke anazifuga kabla ya ndoa haziwezi kukoma baada ya ndoa.Ujinga ujinga kama huu mimi siwezi kufanya tena.
Week 1 sasa hatuwasiliani wala kuongea na wife japo tunakaa nyumba 1 na tunalala kitanda kimoja.
Mwanamke mjuaji kupitilizaaa.
Neno samahani kwake mwaka huu sijawah kulisikia
Mwanamke mbishii jeuri anajiamin kupita kiasi.
MWanamke nyumba hajui hata kuipangilia, unarud jioni unakuta pampas za mtoto kuanzia sitting room kwenye makochi mpaka chumban kitandani nazimetumika.
Mwanamke anaweka pedi zilizotunika bedroom mpaka umkumbushe baada ya kuona chumban sasa kunanuka. Ukimrekebusha ligi ya maneno inaanza
Dah wakuu, hawa wanawake wengine ni mitihan sanaaaa.
KWasasa nimeamua kuwa mkimya na kwasababu ya tabia yake kwakwel nachukizwa nae mnooo, sitaki hata kuongea nae huyu mpumbavu.
Yan nataman hata nitafute nyumba ndogo huko njee
Na hapo ndio roho ya mkataa pema itakuwa imekuvaa mazimaHeheheheee 🙄🙄 wa kuruhusu hilo ni mimi nikikutia block utatulia tu
Halafu ni marufuku kumblock mwanaume alie single..Wewee ujasiri wa kuja kuyamwaga haya hapa pia ni tatizo 😒😒 kavunjia ungo ktk ndoa?? Tabia zozote ambazo me/ke anazifuga kabla ya ndoa haziwezi kukoma baada ya ndoa.