ThickDarkness
Member
- Apr 23, 2024
- 43
- 96
Apo mada kuu ilikua ni kua na pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoa
Ila siku ukishakua utakuja kutambua kuwa haya yote uliyoandika ni pumba tupu
Mark this comment
Soon niko nawewe,,ngoja nimalizane na hawa wengine kwanzaMingo inaruhusiwa
We kajamaa una akili mno,bile 3D view mtu awezi elewa huu uzi wako... Nimetazama kwa jichola 3 tokq mbaliiiii mno na kuuona ujumbe wasiri uliouficha. Big upNa Kwa nini uchukue àmbaye Hana na anahitaji Pesa Kutoka Kwa Wanaume badala ya kufanya Kazi?
Unaona Ms R ninachokuambiaga ? 🤣🤣🤣.utulie tuli.
Kuleta umaskini wako kwèñye mapenzi utajikuta NI Malaya àmbaye asiye na vyeti.
Fanya Kazi
Saidiana na mwenzako.
Hayo ndîo maisha
Unafikiri akina Dangote, Mo wanapoteza muda kuwafanyia hivyo wake zao?Unabidi kuwa na HELA ndo uataweza kutimiza hayo mambo.
We Phalller kweli 🤣🤣🤣ushawahi kunijaribu mimi lakini nkakataa🥲😂😂
Unafikiri akina Dangote, Mo wanapoteza muda kuwafanyia hivyo wake zao?
Ukiwa na hela ndivyo unazidi kuwa bize
Wake za watu wenye vibunda wanalijua hilo
Tupe mbinu za kufurahisha watoto wetu na wazazi sio hao kuku majiKumfurahisha unayempenda ni kujifurahisha mwenyewe hiyo NI Saikolojia Mkûu.
Kama Huna unayemfurahisha tafsiri yake hauna furaha period
Tupe mbinu za kufurahisha watoto wetu na wazazi sio hao kuku maji
Umasikini huwa upo kwa pande nyingi.Yes hakuna anaependa umaskini lkn sasa ndio umejikuta upo humo muda unasonga ila hujatoboa bado. Ndio nikasema huu msemo wa mwanaume usioe mwanamke maskini ni kwa wanaume waliojipata tu vinginevyo utapata wa kufanana nae hakuna namna.
yake
Kulikuwa nachango wa aina hiyo? Mada ipo wapi?
NJIAPANDA: Mke wangu alileta mchepuko wake kwangu wiki mbili wakitafuta mtoto, sasa anakaribia kujifungua!
Sina kawaida ya kushika simu ya mke wangu kwani nilikuwa namuamini kiasi kwamba sijawahi hata kufikiria kama atakuja kunisaliti. Nimeoa na ndoa yangu ina miaka 3 sasa, na Mungu ametujalia mtoto mmoja. Sasa hivi mke wangu ni mjamzito na ana mapacha wawili tumboni.
Wiki mbili zilizopita niliona kama mke wangu amebadilika. Alikuwa hana raha na kila nikitaka kuongea naye, anakuwa mkali, na hata kunifokea hadi kunitukana mbele za watu. Mimi nilijua ni ujauzito kwani ana mimba ya miezi nane, hivyo nilijishusha na kukaa kimya.
Lakini kuna kitu kilinichanganya, alikuwa karibu sana na simu yake. Alikuwa bize nayo kiasi kwamba hata chakula alikuwa hali. Ilionekana kama kuna mtu anachati naye. Kilichonishtua zaidi ni kwamba hakutaka mtu kugusa simu yake, hata mtoto akigusa simu, anakuwa mkali, anatukana hadi basi.
Mimi password yake nilijua muda mrefu, ila sikujisumbua naye kwani alijua siijui. Nilipoona mabadiliko, nikaamua kufuatilia kujua ni nini. Nikakuta analalamika kwenye meseji nyingi tu anazotuma kwa mtu mmoja, ambaye hajahifadhiwa kwenye simu. Mwanzoni, meseji zilikuwa zinazungumzia mambo ya ujauzito, baadhi zilikuwa zimefutwa, lakini ni kama alikuwa anamwambia kuhusu watoto wake na mambo kibao, ikionyesha kuwa yeye ndiye baba wa watoto na walionysha kuwa vizuri sana.
Baadaye nikaona Mke wangu alikuwa analalamika, "Utambarikije ndoa na mke wako wakati uliniambia umemuacha? Kwanini uliniambia nibebe mimba kama ulikua na mpango wa kumuacha huyo mwanamke?" Mwanaume alikuwa hajibu, hivyo anatuma meseji tu zaidi ya mia mbili analalamika ila hajajibiwa.
Kwa kweli nilipaniki, nikaamua kufuatilia, nikagundua kuwa hata kadi ya kliniki sijaandikwa mimi kama baba wa mtoto, amemuandika huyo mtu ambaye nilipofuatilia ni mtu namjua. Alishawahi kuja mpaka kwangu kipindi fulani, akaniambia ni baba wa rafiki yake. Aliniomba huyo baba aje kulala kwangu kwa sababu alikuja yuko kwenye matibabu, mpaka rafiki ayke ananipigia simu kunishukuru, akakaa kwangu wiki mbili. Najua alikuwa anaenda hospitalini Muhimbili kumbe ndiyo walikuwa wanatafuta mtoto.
Kwa maana kuwa kumbe walishangaika kupata mtoto kwa muda mrefu kwa sababu mwanaume yuko mkoani. Mke wangu ndiye aliamua kumkaribisha nyumbani ili iwe rahisi kwake kubeba mimba, kwamba wakati mimi niko kazini wao wanahangaika kupata mtoto. Na kwa kweli nilipoangalia tarehe, zinalingana na kipindia licjhobeba mimba.
Sijamuuliza mke wangu kitu chochote, bado nipo kimya. Wiki ijayo ndiyo nampeleka kwao kwa ajili ya kujifungua kwani alisisitiza sana kuhusu mimi kumpeleka. Sasa najiuliza nifanye nini? Sina amani, sina raha, bado nimeshangaa. Hii mimba imenisumbua sana, amenitukana sana na kunidhalilisha sana, nilijua ni kisirani cha mimba kumbe hata si mimba yangu. Naomba ushauri, nifanye nini?
Sahihi kabsa mkuukujidai
Ndio maana huyu dogo tunamwamhia akikua atakuja kugundua hizi drama alizoandika ni irrelevant kwenye maisha halisi ya ndoa.Kweli sikupingi
Nadhani hayo mambo wanayaweza watoto wa chuo
Umeoa mwanamke mchafu sana, pole sana kiongozi...just live with it. yaani pedi zinakaa tu hovyo, diapers zinazagaa tena zimetumika...una zigo lako hapoUjinga ujinga kama huu mimi siwezi kufanya tena.
Week 1 sasa hatuwasiliani wala kuongea na wife japo tunakaa nyumba 1 na tunalala kitanda kimoja.
Mwanamke mjuaji kupitilizaaa.
Neno samahani kwake mwaka huu sijawah kulisikia
Mwanamke mbishii jeuri anajiamin kupita kiasi.
MWanamke nyumba hajui hata kuipangilia, unarud jioni unakuta pampas za mtoto kuanzia sitting room kwenye makochi mpaka chumban kitandani nazimetumika.
Mwanamke anaweka pedi zilizotunika bedroom mpaka umkumbushe baada ya kuona chumban sasa kunanuka. Ukimrekebusha ligi ya maneno inaanza
Dah wakuu, hawa wanawake wengine ni mitihan sanaaaa.
KWasasa nimeamua kuwa mkimya na kwasababu ya tabia yake kwakwel nachukizwa nae mnooo, sitaki hata kuongea nae huyu mpumbavu.
Yan nataman hata nitafute nyumba ndogo huko njee
Nimeipata copy mtu wangu,
Dogo Robert Heriel Mtibeli ona ushauri wa wakubwa zako wote kwenye huu uzi wakoEwe mwnaume, jifurahishe achana na hizi biashara za kutaka kufurahisha kiumbe mwanamke. Do what pleases you the most, kama ataangukia kwenye package ni sawa, kama sio apambane na hali yake...ila jifurahishe wewe kama wewe.
Dogo Robert Heriel Mtibeli ona ushauri wa wakubwa zako wote kwenye huu uzi wako
Una akili sana, ndio maana nakupenda😂😂Nimeipata copy mtu wangu,
Ninepata mbinu za kukufurahisha,
Japo najua bila pesa kwako ni bure tu😀😀