Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Hayo ya kyline siyafahamu...kwani wewe hujasikia jamaa analia? au ya Mengi na Klyine huyafahamu kwamba alikuwa anatumia pesa za mzee kula maisha na njemba mwingine?
Ninachofahamu kwa kuwa Mzee alikuwa na Hela alifanikiwa kumnasa...asingekuwa nayo hakuna ambacho angeambulia..