Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Hapo Mwanamke ana pesa zake...
Hategemei ya Mwanamme....Dizaini ya Zari hao..

Kama hana....unampelekea huo so called "Usanii" my fureendi...Utasaidika tu..
kwahiyo pesa ni kwa wanawake wenye njaa, au wengine ndo mnachuma kwa wenye nazo ili mkajifurahishe kwa mnaowapenda na hawana pesa?

sasa hoja tuiweke vipi kuhusu pesa na mapenzi
 
NAKAZIA

Dogo mleta uzi kakua kwenye familia nina uhakika hajawahi kumuona baba yake akimfanyia hizo drama mama yake na ndoa yao inadumu
Tunaanza kujionea matokeo ya kizazi cha wavulana waliokua wakitazama tamthilia za Kifilipino na movies za Kikorea kinazalisha sana simps wenye drama
 
kwahiyo pesa ni kwa wanawake wenye njaa, au wengine ndo mnachuma kwa wenye nazo ili mkajifurahishe kwa mnaowapenda na hawana pesa?

sasa hoja tuiweke vipi kuhusu pesa na mapenzi
Hoja ni kuwa..Mwanamke apewe pesa
Hata mwenye nazo naye anahitaji pesa pia....
 
Tunaanza kujionea matokeo ya kizazi cha wavulana waliokua wakitazama tamthilia za Kifilipino na movies za Kikorea kinazalisha sana simps wenye drama
Wanafikiri maisha HALISI ya ndoa yanaweza kuwa kama maigizo ya movies za love story
 
Hapo Mwanamke ana pesa zake...
Hategemei ya Mwanamme....Dizaini ya Zari hao..

Kama hana....unampelekea huo so called "Usanii" my fureendi...Utasaidika tu..

Na Kwa nini uchukue àmbaye Hana na anahitaji Pesa Kutoka Kwa Wanaume badala ya kufanya Kazi?
 
Hoja ni kuwa..Mwanamke apewe pesa
Hata mwenye nazo naye anahitaji pesa pia....
Huyu aliyeolewa na mwenye pesa ili apate pesa za kwenda kula na fukara unamuweka kundi gani? kama pesa haiwezi kumfanya mwanamke atulie huko anakopewa hili unalizungumziaje
 
Kwani kuolewa au kuwa na Mwanaume mwenye pesa ndiyo kuwa na Pesa?
Pengine yupo kwenye hiyo Ndoa ila pesa hapewi...
 
Hapana mkuu , pesa nilizo nazo zinatosha tumbo langu tu😁😁

Pesa siô msingi wa Kuoa.
Ila Kazi ndîo msingi wa Kuoa.

Achana na hao wanyonyaji. Ilimradi unafanya Kazi hata kama unaingiza Laki Moja unauwezo WA Kuoa na kumfurahisha Mwanamke
 
Nadhani thats why great men in the history of mankind never took women seriously, einstein, newton, and many others...
 
Kwani kuolewa au kuwa na Mwanaume mwenye pesa ndiyo kuwa na Pesa?
Pengine yupo kwenye hiyo Ndoa ila pesa hapewi...
kwani wewe hujasikia jamaa analia? au ya Mengi na Klyine huyafahamu kwamba alikuwa anatumia pesa za mzee kula maisha na njemba mwingine?
 
Pesa siô msingi wa Kuoa.
Ila Kazi ndîo msingi wa Kuoa.

Achana na hao wanyonyaji. Ilimradi unafanya Kazi hata kama unaingiza Laki Moja unauwezo WA Kuoa na kumfurahisha Mwanamke
Hapana mkuu kwa huo mshahara sitaoa mambo yakuja kuchapiwa na kina mzabzab hapana kwa kweli😁
 
Back
Top Bottom