Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kua uyaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona nakuonaDah sasa unatombajeeee bila kuzama chumvini...mie siwezi aisee
Una sifa zote za kuitwa simpJINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.
Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.
Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.
Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;
1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.
Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.
Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.
Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.
2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.
3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.
Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.
4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.
Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's
5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.
6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.
Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.
Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.
Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.
Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.
7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.
Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.
Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Absolutely., don't treat her nice, treat her right.Acha kupoteza muda kuwaza namna ya kumfurahisha mwanamke , mwanamke mfanyie mfano wa yale anayo kutendea akileta dharau na wewe weka ubedui akitulia na wewe kuwa mwema kwake pia.
NAKAZIAUna sifa zote za kuitwa simp
Siyo shida zetu😅😅😅😅Dada ninae na natambaa nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Absolutely., don't treat her nice, treat her right.
kumbe, pesa ndo usanii wenyeweYote haya bila kumpa hela watakusaidia...
Imebeba kila kitu....kumbe, pesa ndo usanii wenyewe
Her rate of attraction is inversely proportional to the care you show herMost men fail to realize this simple fact
With women more is less and less is more
kuna mahali inakataa, kuna msanii huko juu amepewa talaka na mwanamke, na mwanamke kaenda kwa Ex wake ambaye hana pesa hilo unalizungumziajeImebeba kila kitu....
Amini kwamba..
Yote haya bila kumpa hela watakusaidia...
kuna mahali inakataa, kuna msanii huko juu amepewa talaka na mwanamke, na mwanamke kaenda kwa Ex wake ambaye hana pesa hilo unalizungumziaje
Jitihada zote hizo ni kwaajili ya mwanamke tu, tafuta pesa kijana
Hapo Mwanamke ana pesa zake...kuna mahali inakataa, kuna msanii huko juu amepewa talaka na mwanamke, na mwanamke kaenda kwa Ex wake ambaye hana pesa hilo unalizungumziaje