Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Hivyo vyote sijui kuhusu sanaa vinakuwa na nguvu siku za mwanzoni ila baada ya muda vinazoeleka na vinaanza kuwa bored kwa mwenzako.

Hata pesa nayo huzoeleka ila hii kidogo inachukua muda tofauti na hayo mambo ya kisanaa.

Kwa Mtu unayempenda havizoeleki Kwa sababu haufanyi Kwa kuigiza Bali vinatoka naturally. Drama za ujana hazifanani na drama za Ûtu uzima. Hivyo mambo huenda Kwa kubadilika.

Vitu ndîo huzoeleka lakini tàbia na mienendo ya binadamu haizoeleki
 
Hiyo NI Mada ñyiñgine àmbayo itabeba kichwa "jinsi ya kumfurahisha Mwanaume wako"
Swali Lako lipo nje ya mada
hapana liko ndani ya mada, kwa sababu kila unalolifanya lina matarajio, kabla haujaenda kwenye hiyo mada nyingine, ni nini mwanaume anapata katika kumfurahisha mwanamke?
 
Huko chini vijana watapata sana cancer ya koo, kinadharia unaona unamfurahisha mwanamke kumbe zile bacteria hatari zinazomsumbuwa mwanamke unazitowa kwake huku akisikia raha zinahamia kwa mwanaume.
Dah sasa unatombajeeee bila kuzama chumvini...mie siwezi aisee
 
Kwa Mtu unayempenda havizoeleki Kwa sababu haufanyi Kwa kuigiza Bali vinatoka naturally. Drama za ujana hazifanani na drama za Ûtu uzima. Hivyo mambo huenda Kwa kubadilika.

Vitu ndîo huzoeleka lakini tàbia na mienendo ya binadamu haizoeleki
Hata upendo wenyewe nao unapungua na kuna muda unaweza kufikia ukaisha kabisa.

Mapenzi yenu yalivyokuwa wiki ya kwanza baada ya ndoa, sio mapenzi ambayo mpo nayo hivi sasa baada ya miaka kadhaa.
 
Acha kupoteza muda kuwaza namna ya kumfurahisha mwanamke , mwanamke mfanyie mfano wa yale anayo kutendea akileta dharau na wewe weka ubedui akitulia na wewe kuwa mwema kwake pia.

Kanuni za kitibeli zinaeleza Mwanamke akienda kinyume tunapiga chini hatuwezi kuwa wabaya au kushinda Kwa ubaya Wakati Sisi hatupo hivyo

Ndîo maana Sisi Watibeli mapenzi hayatusumbui Kwa sababu tunajua jinsi Bora ya ku-react
 
Ujinga ujinga kama huu mimi siwezi kufanya tena.
Week 1 sasa hatuwasiliani wala kuongea na wife japo tunakaa nyumba 1 na tunalala kitanda kimoja.
Mwanamke mjuaji kupitilizaaa.
Neno samahani kwake mwaka huu sijawah kulisikia
Mwanamke mbishii jeuri anajiamin kupita kiasi.
MWanamke nyumba hajui hata kuipangilia, unarud jioni unakuta pampas za mtoto kuanzia sitting room kwenye makochi mpaka chumban kitandani nazimetumika.
Mwanamke anaweka pedi zilizotunika bedroom mpaka umkumbushe baada ya kuona chumban sasa kunanuka. Ukimrekebusha ligi ya maneno inaanza

Dah wakuu, hawa wanawake wengine ni mitihan sanaaaa.

KWasasa nimeamua kuwa mkimya na kwasababu ya tabia yake kwakwel nachukizwa nae mnooo, sitaki hata kuongea nae huyu mpumbavu.

Yan nataman hata nitafute nyumba ndogo huko njee
 
Acha kupoteza muda kuwaza namna ya kumfurahisha mwanamke , mwanamke mfanyie mfano wa yale anayo kutendea akileta dharau na wewe weka ubedui akitulia na wewe kuwa mwema kwake pia.
Kwasasa nimeamua kuwa hiv, nimejishusha sana na kuwa muungwana kwa muda mrefu sana
 
Mwanamke akiamua kutunzwa na wewe basi atakubali umtunze, kama hajaamua hata utumie ufundi na nadharia gani hapo huwezi kumtunza asilani abadani.
Mwanamke atakupenda akiamua tu.
 
Ujinga ujinga jama huu mimi siwezi kufanya.
Week 1 sasa haruwasiliani wala kuongea na wife japo tunakaa nyumba 1 na tunalala kitanda kimoja.
Mwanamke mjuaji kupitilizaaa.
Neno samahani kwake mwaka huu sijawah kulisikia
Mwanamke mbishii jeuri anajiamin kupita kiasi.
MWanamke nyumba hajui hata kuipangilia, unarud jioni unakuta pampas za mtoto kuanzia sitting room kwenye makochi mpaka chumban kitandani nazimetumika.
Mwanamke anaweka pedi zilizotunika bedroom mpaka umkumbushe baada ya kuona chumban sasa kunanuka. Ukimrekebusha ligi ya maneno inaanza

Dah wakuu, hawa wanawake wengine ni mitihan sanaaaa.

KWasasa nimeamua kuwa mkimya na kwasababu ya tabia yake kwakwel nachukizwa nae mnooo, sitaki hata kuongea nae huyu mpumbavu.

Yan nataman hata nitafute nyumba ndogo huko njee
Duh umemtoa wapi huyo, haya sasa kama huyo inatakiwa umuwekee drama gani ili ajue pempas na ped zilizotumika hazipaswi kukaa ndani
 
Back
Top Bottom