Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Si wanapatikana akhera au wewe hutakiMabikra 72 wanatokea wapi tena...mbona kila leo mafundisho mapya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanapatikana akhera au wewe hutakiMabikra 72 wanatokea wapi tena...mbona kila leo mafundisho mapya
Umeiva kamandaUsieleweke
Pia hakikisha unashtua shtua mahusiano.
Mara moja moja Akamate hata meseji tata..
Akiona mbona hakuna mwanamke mwingine anayekutamani anaweza kuhisi ana mume ndondocha labda.
Hapana sitaki...mie napenda hawa wa duniani breki mbupuzSi wanapatikana akhera au wewe hutaki
Utakua zuzu kama wewe kazi yako ni kumfanya afurahi huku wewe ukiteketea na yeye hana msaada juu ya hilo .eti anasema swali hili ni nje ya mada
mmmh huyo sio mlokole, maandiko mbona hayasemi hivyo, mlokole gani hata samahani haijui huyo hata ulokole anaufakeBraza acha tu.. hakua hiv nafikiri alijitahid kuigiza ila hiibtabia sikuwah kuijua.
Tena ni msomi mwenzangu na ni muajiriwa kabisa.
Ukimuona hata huwez amini.
Tena ni mlokole kabisaaa
Uzuzu kabisaUtakua zuzu kama wewe kazi yako ni kumfanya afurahi huku wewe ukiteketea na yeye hana msaada juu ya hilo .
Nakuambia hivii, ni mlokole , kwan si ndio walokole wa leo walivyo???mmmh huyo sio mlokole, maandiko mbona hayasemi hivyo, mlokole gani hata samahani haijui huyo hata ulokole anaufake
Kuna namna ukishakua na hizo hela unaona haupendwi😁😁 ni pesa zinapendwaWenyewe wanasema tuwape hela...wee unakuja na mlolongo mrefuuuu 😂😂😂😂
Yote haya bila kumpa hela watakusaidia...JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.
Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.
Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.
Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;
1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.
Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.
Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.
Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.
2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.
3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.
Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.
4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.
Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's
5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.
6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.
Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.
Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.
Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.
Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.
7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.
Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.
Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Na ata ukimpa hela kusaidiwa kupo pale pale....tusilete wivu kwenye mbususuYote haya bila kumpa hela watakusaidia...
Huu usanii sio kwa Hawa wanawake manguchiro ya kitanzaniaJINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Wee tunatumia pesa kupata utelezi sio kupendwa bwana....Kuna namna ukishakua na hizo hela unaona haupendwi😁😁 ni pesa zinapendwa
Ukimpa hela vingine vyote vinakuja automatic bila kujihangaisha.Na ata ukimpa hela kusaidiwa kupo pale pale....tusilete wivu kwenye mbususu
Unasusiwa mbususu ni wee tuu kutelezaaaUkimpa hela vingine vyote vinakuja automatic bila kujihangaisha.
Dada ninae na natambaa nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimpa hela vingine vyote vinakuja automatic bila kujihangaisha.
Mchaga bana😁😁😁😁😁😁😁Ukimpa hela vingine vyote vinakuja automatic bila kujihangaisha.
😁😁😁😁 vijana mpo vizuri aseeWee tunatumia pesa kupata utelezi sio kupendwa bwana....
Ukishapendwa na mama yako inatosha