Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Kwanini iwe mwanaume tuu kutumikia??

Kwa sababu Mada hii inahusu Mwanaume kumfurahisha Mwanamke.
Zîpo Mada ñyiñgine zinazoeleza Mwanamke kumfurahisha Mumewe. Ndîo maana waô Wana kitchen party

Kwa nini uone shida kumfurahisha Mwanamke anayempenda, aliyekuzalia Watoto na mnajenga familia na kizazi chenu Kwa pàmoja kama wewe Hauna tatizo la Àkili?

Kumfurahisha unayempenda ni Wajibu. Kuanzia Mke, Watoto na Wazazi. Hata Mungu pia
 
Kwa nini nimfurahishe mwanamke,?
na mimi atanifurahisha nani?
kila mtu ajifurahishe mwenyewe

Hawanaga shukrani niache kutafuta hela eti nikae kufurahisha toto la mtu,akafurahishwe na baba yaje huku.
Fight for your children ,not for women
 
Pia hakikisha unashtua shtua mahusiano.
Mara moja moja Akamate hata meseji tata..

Akiona mbona hakuna mwanamke mwingine anayekutamani anaweza kuhisi ana mume ndondocha labda.

Hakikisha hizô meseji hazimsifii huyo Mwanamke WA NJE ila zionyeshe kuwa wanakupapatikia na kukutongoza.

Hiyo inaitwa rebranding 😃
 
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.

Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.

Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.

Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;

1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.

Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.

Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.

Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.

2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.


3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.

Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.

4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.

Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's

5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.

6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.

Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.

Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.

Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.

Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.

7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.

Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.

Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Ukifanya yote hayo yeye atakupa nini?
 
Kwa nini nimfurahishe mwanamke,?
na mimi atanifurahisha nani?
kila mtu ajifurahishe mwenyewe

Hawanaga shukrani niache kutafuta hela eti nikae kufurahisha toto la mtu,akafurahishwe na baba yaje huku.
Fight for your children ,not for women

Kumfurahisha unayempenda ni kujifurahisha mwenyewe hiyo NI Saikolojia Mkûu.

Kama Huna unayemfurahisha tafsiri yake hauna furaha period
 
Hivyo vyote sijui kuhusu sanaa vinakuwa na nguvu siku za mwanzoni ila baada ya muda vinazoeleka na vinaanza kuwa bored kwa mwenzako.

Hata pesa nayo huzoeleka ila hii kidogo inachukua muda tofauti na hayo mambo ya kisanaa.
 
Back
Top Bottom