Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Ndio hapo sasa lazima mwanaume awe amejipata vinginevyo akina sisi ndio tupo.
Kabisa tena kujipata haswa , ndio maana mimi huwa nasema mpaka nikifika 60 huko 😁😁
 
Vivyohivyo

Wanaume Maskini wakipata wengi waô wanatabia za Wasanii Muziki
Kina Pdidy, Lily Wyne n.k. hata Hapa bongo Wala usishangae kuona Kwa nini Wasanii hu-act vile wanavyo-act, sababu kûbwa ni poor Background Kwa wengi waô.

Hakuna Watu wanyanyasaji kama Wanaume waliotoka familia Maskini alafu wakazifuma Pesa. Wengi waô ni hatari
Ushahidi ukitaka nitakupa
Nakubali upo sahihi.
 
.utulie tuli.

Kuleta umaskini wako kwèñye mapenzi utajikuta NI Malaya àmbaye asiye na vyeti.

Fanya Kazi
Saidiana na mwenzako.
Hayo ndîo maisha
Unaona Ms R ninachokuambiaga ? 🤣🤣🤣
Bila kumuwekea Mwanamke kitega uchumi cha maana Mimi sitoa kwanza mpaka kile ninachotegemea kumuwekea nikamilishe
 
Nyie Watibeli hela haijafika Uko kwenu nini?
Town Njia ya kumfurahisha mwanamke ni Kumpa hela tu basi mambo sijui ya Sanaa waaachie Wizara ya Sanaa na Utamaduni
 
Miss Kelsea hakuna Mwanaume anayependa umasikini na ndio maana huwa tunachukuwaga maamuzi magumu katika kutafuta hela japo nature nayo huwa imepanga mipango yake pia.
Yes hakuna anaependa umaskini lkn sasa ndio umejikuta upo humo muda unasonga ila hujatoboa bado. Ndio nikasema huu msemo wa mwanaume usioe mwanamke maskini ni kwa wanaume waliojipata tu vinginevyo utapata wa kufanana nae hakuna namna.
 
Ukiona Watoto hawafundishiki ujue wewe NI Mzee uliyefeli karibu kîla kitu.

Huwazi mfundisha Mtu Jambo ambalo ulifeli.

Mambo mengi Wazee wetu mlifeli hivyo mnastahili kupuuzwa
Sisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoa

Ila siku ukishakua utakuja kutambua kuwa haya yote uliyoandika ni pumba tupu

Mark this comment
 
Sisi hatujawahi kuwa na drama kama hizi unawafundisha vijana wenzako na ndoa zetu zimedumu nyinyi na drama zenu zote kila siku mnalialia kuhusu ndoa

Ila siku ukishakua utakuja kutambua kuwa haya yote uliyoandika ni pumba tupu

Mark this comment
Kumbe umeoa,,niltaka nianze kukutegea mingo
 
Muda wa yote hayo kwa mwanaume mwenye majukumu unautoa wapi?
 
Huogopi madonda ya koo🏃🏃🏃😁
Uzushi tuu huo wa wanazengo....hamna cha vidonda wala nini....ni full kuchezea kisimi na ulimi huku miguu yako ipo shingoni mwangu
 
Unabidi kuwa na HELA ndo uataweza kutimiza hayo mambo.


Asilimia kubwa watz huamka Ahsubui na kurudi usiku night Kali

Mtiririko uko hivi

Ukikuta MTU Ana muda mwingi ujue hana pesa na ukikuta MTU Ana pesa ujue very busy

So ukitoa kuhudumia familia chakula ,kodi na Ada za watoto. Then MTU huyo huyo akae na kufikiria mambo ya orgasm sio rahisi

Hayo yote yanawezekana kwa wenzetu ambao wapo na kila kitu
 
Back
Top Bottom