Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Mwanamke hata umpe dunia nzima, kama hsumpi unyunba unaojisheleza, huyo atabaki anaungulika maisha, hana furaha ya ndani (inner peace). Ugomvi, kununa, kusikitika hakutamwishia.
. Soma Alfu lela u lela uwajuwe wanawake.

Kuna vitabu vya zamani vingi sana ndivyo vinavyomjuwa mwanamke, mmkitska refence niyawapa vitatu, Hizi theories zenu za sasa hazina lolotenwala chochote.
Mnamtafsiri mwanamke ki material. Mnakosea.

Mwanamke anaejijuwa ana thamani kuliko chochote duniani.
Kuwabebea uhai wenu ndani ya miili yetu, kuna chenye thamani zaidi ya hicho?

Furaha ya mwanamke ipo ndani, siyo nje (inner feelings).
 
Wewe jamaa viazi kweli
Mambo yote hayo umfanyie mwanamke..

Unazungumzia mpenzi au mke..
Sikulelewa hivyo aisee.. kama hataki aende
 
Kwa bango hili leo nimegundua kwamba wanaume ni wasanii.
 
Bila pesa, huo wooote ni ushuzi tu
 
Bora kubeti
 
Wewee ujasiri wa kuja kuyamwaga haya hapa pia ni tatizo 😒😒 kavunjia ungo ktk ndoa?? Tabia zozote ambazo me/ke anazifuga kabla ya ndoa haziwezi kukoma baada ya ndoa.
 
Wewee ujasiri wa kuja kuyamwaga haya hapa pia ni tatizo 😒😒 kavunjia ungo ktk ndoa?? Tabia zozote ambazo me/ke anazifuga kabla ya ndoa haziwezi kukoma baada ya ndoa.
Halafu ni marufuku kumblock mwanaume alie single..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…