Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Kuna watu mnaishi km mashetani hapa duniani, mke mchafu na bado ana mdomo, aroo balaa hilo
 
Kuna watu mnaishi km mashetani hapa duniani, mke mchafu na bado ana mdomo, aroo balaa hilo
Unaona post zinazokuponza kwangu ni hizi.
Yaani zinanifanya nizidi kukaza msuli.
You got what it takes to be my woman.
 
Unaona post zinazokuponza kwangu ni hizi.
Yaani zinanifanya nizidi kukaza msuli.
You got what it takes to be my woman.
Aaah usinisifie sifie kwenye vitu viko wazi kabisa huyo bwana si umemsoma mwenyewe anavyoteseka
 
Kuna watu mnaishi km mashetani hapa duniani, mke mchafu na bado ana mdomo, aroo balaa hilo
Kuna watu huwa hawajuagi kwann watu wanakua na mahusiano nje ya ndoa, sasa hii ni moja ya sababu. Yan neno raha ya ndoa kwangu ni kama mvua za msimu
 
Kwahiyo wakati wewe ubahangaika na vyote hivyo, yeye anachangia kitu gani?
 
Wewee ujasiri wa kuja kuyamwaga haya hapa pia ni tatizo 😒😒 kavunjia ungo ktk ndoa?? Tabia zozote ambazo me/ke anazifuga kabla ya ndoa haziwezi kukoma baada ya ndoa.
Mpaka kuyamwaga hapa ni kwasababu ya mleta uzi, kuonyesha kwamba anachokisema sio kitu realistic kivile kwetu wengine.
Heb sema sasa hapo umamfurahisha vip mwanamke kama huyo kama sio kwa kumtandika makofi????
 
Pole sana,mimi yalinishinda nimabeba virago,sasa naishi kwa amani sana
Mkuu hongera, na ninafurah kusikia kumbe hii kitu sitakua mimi wa kwanzq. Nafikiria kufanya hivyo kwakwel.
Nashindwa ku concerntrate na biashara zangu kisa huyu mwanamke full kunivuruga
 
Kuna watu huwa hawajuagi kwann watu wanakua na mahusiano nje ya ndoa, sasa hii ni moja ya sababu. Yan neno raha ya ndoa kwangu ni kama mvua za msimu
Nimekusikitikia sana ungeweza kumvumilia na mengine sasa huo mdomo lazima awe mjuaji huyo hapo pagumu hata mie nisingeweza, lakini kwenye mchepuko hapo si ndo utakuwa umeongeza kelele watu aina ya mkeo wako makini sana ktk suala la mume kuchepuka na wana fujo sana huo msalaba ushaubeba, ni ama uzoee hayo maisha ama la mtengane yani ajue umemuacha kuliko kuchepuka akudabe utaita mma
 
Tutafika 2025 tukiwa tumechoka sana
 
Mpaka kuyamwaga hapa ni kwasababu ya mleta uzi, kuonyesha kwamba anachokisema sio kitu realistic kivile kwetu wengine.
Heb sema sasa hapo umamfurahisha vip mwanamke kama huyo kama sio kwa kumtandika makofi????
Tafuta jinsi mtengeneze au mbomoe labda kama umeamua ku surrender.
 
Umeoa mwanamke mchafu sana, pole sana kiongozi...just live with it. yaani pedi zinakaa tu hovyo, diapers zinazagaa tena zimetumika...una zigo lako hapo
Nakuambiaje kaka, leo hii nimeamua kupumzika tu home, ila isingea privacy, ningekupigia hata picha ya leo hii uone. Ningeaniza chumban mpaka sitting.
Mwanamke hata kutoa na kuweka net hana habar mnakua mnajichomeka kama panya.

Kwakifupi maisha niliokua naishi nikiwa bachela hayakua hivi.

Mwanamke sufuria ya ugali unaweza ikuta ina siku 3 hata kulowekwa maji na kuoshawa nooo...

Huyu mama kuosha vyombo ujue vyoooote vimetumika vimeisha hivyo hakuna cha kupikia
 
Tafuta jinsi mtengeneze au mbomoe labda kama umeamua ku surrender.
Nimeshajaribu sanaaa for all 10 yera tukiwa wana ndoa ila waap!!! Na imagine she is a gdown woman of 35 years wala sio mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…