Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

Kipya kwako NI kipi?
Wewe ndîo sina jipya Kutoka kwako ila Wanawake wenzako Wana vipya vingi àmbavyo lazima vitolewe ufafanuzi.

MTU upo Mwaka 2024 lakini unaishi kama upo Mwaka 600 utakuwa na kipya gàni?
Umeshaanza kumfunidisha hivyo vipya mamako?
 
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.

Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.

Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.

Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;

1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.

Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.

Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.

Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.

2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.

3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.

Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.

4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.

Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's

5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.

6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.

Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.

Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.

Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.

Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.

7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.

Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.

Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kuna mtu alishawahi kufanya hayo yote na bado akaachwa. Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini, wewe ndio uje utuambie vitu wanavyovitaka/kupenda kweli?
 
Mwanamke sio kiumbe cha kukifurahisha
kumbuka ilo
 
Mtoa mada kwani unamatatizo gani wewe??
 
Unatuangusha Mwamba, kwahiyo wewe hupigi mechi za nje?
Mkuu nina zaid ya mwaka tokanniache haya mambo.
Na kiukwel toka niamue kutulia ndio naona hiz kero zake zinanisumbua, mwanzon hata nilikua sijali akinikera ila sasa nimeamua kutulia yeye anataka kunirudisha nje tena
 
Hayo kayaaply kwa mama yako mzazi,mkeo atafurahishwa na hawara wake.
 
Wewe ni muajiriwa? Kama ni baba wa nyumbani halafu mwenzako anafanya kazi analeta chakula, kwanini usipike na kufanya kazi zote za nyumbani?
Ahahahah Dahhh!!... braza umenikosea ujue.
Mimi ni mjasiriamali niliacahana na ajira rasmi 2020 June, na kwa nature ya biashara yangu naweza nikakaa home hata mwezi mzima na pesa ikawa inaingia bila tatizo, most of the time i preffer to work from home ofisin mengine yanaendelea labda nilazimike kusafiri au niingie market kupanua wigo zaidi.
 
Ok kazi nzuri.
 
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.

Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.

Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.

Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;

1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.

Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.

Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.

Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.

2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.

3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.

Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.

4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.

Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's

5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.

6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.

Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.

Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.

Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.

Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.

7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.

Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.

Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Kama hauna pesa hata ukiwa kama Mr Bean tutakugongea Kwa chips yai tu
 
Kama hauna pesa hata ukiwa msanii kama Mr Bean au umkojeze vp tutakugongea Kwa chips yai tu
 
Hapo uache kazi ufanye kazi, Naturally Binadamu hatupo hivo yaani hivyo vyote awenavyo Mwanaume mmoja.

Ni either uwe na robo na hivyo vengine u pretend ambavyo mwisho wa siku utachoka tu mwenyewe.

Just be you.
 
😃
 
umezungumza kifupi sana, vizuri sana na nimeamini kila ulilosema, kiasi kikubwa ni hivyo, mara nyingine anaweza kukuchagulia nguo akakopa kwa niaba yako, kwake ni nzuri lakini wewe ukamhurumia kwa nini amechagua hii mbona ni ya kawaida tu, yeye ameipenda pengine amekununulia.
 
Mwanamke atapokea kicheko , bashasha na tabasamu la mwanaume ampendae pale tumbo lake litakapokuwa limeshiba.
 
JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào.
Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti.

Kwetu Mapenzi siô Big deal, hayatuumizi kichwa kwa sababu tunazingatia uhalisia wa mambo. Mapenzi yanahitaji uhalisia(ukweli) ingawaje Kwa umbo la nje yanajifunua Kwa namna ya uongouongo.

Sitaki kumchosha yeyote leo. Niite Taikon Master, Sukari ya Warembo, King of Mahaba.

Hizi ndîzo njia za kumfurahisha Mwanamke wako;

1. Kuwa Mwanasanaa, Drama na Fundi,
Wanawake wengi Duniani yàani Asilimia tisini na tisa pointi Tisa. Wanafurahishwa na Wanaume weñye Sanaa, ufundi, ucheshi, na drama.
Sanaa ni ufundi na ûzuri wa kufanya Jambo lolote lile
Ukiongea tumia Sanaa.
Ukicheka tumia Sanaa
Ukitembea tumia Sanaa
Ukikaripia tumia Sanaa.
Ukizagamua tumia Sanaa.
Ukinyoa tumia Sanaa.

Wanawake wanapenda mambo na vitu Vizuri na kitu kizuri chochote hutengenezwa na kuundwa Kwa Sanaa.

Sio unaongea na Mwanamke wako Huweki Sanaa, yàani unamkera. Akisikia sauti yako anakereka tuu.
Mwanamke anatakiwa kîla akikusikiliza asichoke, kîla akikuona atabasamu.

Kuwa Mwanasanaa. Hakuna Mwanamke Dunia hii àmbaye hatakupenda. Lakini hakikisha Sanaa hizô zinakuwa Sanaa za Kiume na zinalinda Umri, hadhi, na Nafasi yako kama Mwanaume. Siô ulete Sanaa za kichoko.

2. Onyesha Mapenzi ya kweli.
Wanawake wanapenda kupendwa, wnafurahia wanapohisi kupendwa. Yakwanza ya kuwa Mwanasanaa ni nzuri lakini ya pili inahusu mahusiano.
Wanawake wanaweza kuvutiwa na kufurahishwa na wanasanaa lakini kama wakihisi Hakuna Upendo hupoteza furaha Yao.
Mpende Mkeo.
Mjali Mkeo.
Onyesha kumsikiliza.
Mpe Muda na Kampuni naye.
Usimlaumu.
Usimpige.
Usim-cheat akajua.

3. Mlishe Chàkula kizuri ashibe.
Wanawake wanapenda Kula kuliko Wanaume. ASIJE akakudanganya Mtu. Kiasili jinsia ya Kike inapenda Kula kuliko jinsia ya Kiume ingawaje Wanaume wanakula chàkula kingi Kuliko wanawake kutokana na maumbile yetu yenye misuli.

Kama uchumi siô ràfiki Sana, angalau mara Moja Kwa Mwezi mlishe Chàkula kizuri anachokipenda, au mtoe Out Mkale Bata.

4. Mkojoze.
Mwanamke hufurahishwa na Mwanaume anayemkojoza. Kama Anakupenda alafu ukamkojoza Basi mahusiano Yenu yatakuwa yanafuraha Muda mwingi
Fanya ufanyavyo hakikisha unajua code na patterns za Mwanamke wako ili akojoe Wakati mnakwichikwichi.

Kîla Mwili WA mwanamke Una Codes na patterns Zake Ambazo ukizijua inakuwa rahisi kumkojoza. Know your wife codes and patterns in her body's

5. Mpendezeshe na wéwe Upendeze.
Mfanye awe Mrembo, avae Vizuri na wéwe úwe mtanashati.
Asuke Vizuri na wewe unyoe au kuziweka nywele zako Vizuri.
Mwanamke anazidi kujiamini pale anapokuwa amependeza.
Ni rahisi Mwanamke kuingiwa na chuki juu yako ukiwa unamvalisha mataputapu.

6. Tengeni Muda wa Drama.
Wanawake wengi wanapenda maonyesho, Muziki, mambo ya Tiktok sijui Instagram na kuishi ki-star.
Kama wewe Mwanaume siô Mtu wa mitandao na maonyesho jitahidi úwe unashiriki naye behind the scenes au muwe mnafanya drama Nyumbani mkiwa pàmoja.

Wanawake wanapenda Drama, mambo ya photoshoot, sijui kujirekodi, sijui kucheza ndîo mambo Yao hayo.

Wengi wanatamani Wapate Wanaume wanaowapenda àmbao watakuwa Watu wa Drama na maonyesho.

Onyesho Lao la Kwanza hupendelea Harusi, birthday na shughuli za namna hiyo.

Kama hauna sababu ya kumbana Mkeo au wewe shughuli zako hazikunyimi Muda wa kufanya drama na Mkeo unaweza ukampa kampani.
Kwao ni Fantasy na Huona kama sehemu ya Maisha ya Furaha.
Pia Kwao huchukulia kama wanapendwa lakini pia kuwaringishia Wanawake wenzao hasa wale maadui zào kuwa yeye anapendwa na niwa thamani.

7. MFOKEE MARA MOJAMOJA.
Wanawake Wakati mwingine hufanya Makosa ya kimakusudi kama sehemu ya utani na Mzaha Kwao kwako kuona uta-react vipi. MFOKEE na mkaripie kisanaa ila asijue kuwa unaigiza Kwa sababu kama yeye anacheza na Àkili yako akuone unavyokasirika jinsi unavyokuwa Basi usiingie kwèñye mfumo wake kikamilifu Bali na wéwe chezea Akili Yake Bila ya yeye kujua kuwa umejua intention Yake.

Usiwe Mpole kupita kiasi Wala usiwe Mkali kupita Kiasi.

Acha nipumzike sasa nikainjike Makande jikoni. Kesho Sabato.

Nawatakia maandalizi mema ya Sabato

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Hivi kuna watu bado mna akili kama hii
 
Back
Top Bottom