Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

utoto huo kuchambua chambua kila kitu... hakuna formula ya haya mambo mzee
 
Akikuomba vocha ya 5000 mpe ya 10000

Pesa ieshimiwe tu
 
Ukijifanya kuwaelewa wanawake utafeli. Anaweza akainya hyo soda yako na akakukataa kabisa.
 
Hygien imekaaje hapo... yaaani ashee tu na wewe.. kama una ugonjwa?
 
Nilifikiri kuna points za maana, uzi wa kipumbavu sana
 
Unakuta kidem kina njaa zake unajifanya kununua unampa anapiga vizur tu na hakuna kitu kitaendelea kama ulivyosema maeneo kama college vina njaa sana nawe wenda uko college 1yr ndo unataka utumie gear hio mkuu theory yenyewe ni mpya ngj tusubr mrejesho 😀 maisha ya utoto raha sana 😀😀
 
Kwa fikra hizi wewe utatapeliwa sana na wanawake…
 

Kwa mtu mstaarabu na anayejali afya, hatakubali kunywa, hata kama anakupenda, labda ukutane na mlafi ndiye atakubali kunywa.
 
Ukimpenda mwanamke mtongoze achana na maigizo akikubali jengeni penzi lenu akikataa kapende kwingine.
 
Mmejuana tu mtaani, Chuoni, Darasani... Hajui afya yako, je kama unaCorona au magonjwa yanayoambukizwa kwa body fluid alafu unataka uweke Domo lako kwenye chupa kisha naye anywe... Kuna mwingine anaweza kukupenda ila asifanye michezo ya kipuuzi kama hiyo... Acha kubet mapenzi kijana, ni vyema kama una pesa ya ziada nunua kila mtu chake, hapo atakuheshimu kuliko kufosi kushea vinywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…