Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:

Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa sprite, siku unaongea naye wewe nunua take away ya sprite, uinywe mbele yake halafu umpe chupa hiyo hiyo naye ainywe, au muulize umnunulie soda gani akisema sprite, nunua sprite moja, ipige tarumbeta hapo mbele yake halafu umpe anywe. Mdada hatojua kuwa unampima

Akikataa kushea chupa ya soda na wewe, kwa gia ya kwamba umnunulie mpya, jua hauna mtu hapo..ukitongoza utakataliwa.
TAFITI ziendelee, kuna siku nili mnunulia demu chakula, bado sija gonga hapo na tupo chuo, akataka tule pamoja nikamwambia mimi nipo vizuri, akadai kijiko cha pili kumridhisha nikawa nakula kidogo kidogo, mwisho nika itisha maji ya kunywa nilipo maliza na yeye aka agiza wakati hudumu ana taka kusafisha kikombe kingine demu akasema awekewe kwenye nilicho tumia, akawekewa bila kikombe kusafishwa.
 
huu uzi umenikumbusha mbali sana, enzi za ujana, akishare kinywaji huyo tayari ni wako tu

Kuna watu wametoka familia au kwenye makuzi ya kuona kushare glasi, kikombe, chupa , kijiko kama jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom