Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

TAFITI ziendelee, kuna siku nili mnunulia demu chakula, bado sija gonga hapo na tupo chuo, akataka tule pamoja nikamwambia mimi nipo vizuri, akadai kijiko cha pili kumridhisha nikawa nakula kidogo kidogo, mwisho nika itisha maji ya kunywa nilipo maliza na yeye aka agiza wakati hudumu ana taka kusafisha kikombe kingine demu akasema awekewe kwenye nilicho tumia, akawekewa bila kikombe kusafishwa.
 
huu uzi umenikumbusha mbali sana, enzi za ujana, akishare kinywaji huyo tayari ni wako tu

Kuna watu wametoka familia au kwenye makuzi ya kuona kushare glasi, kikombe, chupa , kijiko kama jambo la kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…