Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Alafu Shemej Mkali naomba umwambie Miss Halima atuambie ID yake ya zamani ni ipi.Kama hupendwi, hupendwi tu.!
Naandika bila code, inayemhusu akisoma kama yupo jf atanijuašKuna mmoja jana aliniambia kwamba amenichoka na anataka aondoke.....
Nikamjibu kwamba kabla hajaondoka kuna jambo nataka anisaidie....
Alipo uliza ni jambo gani...??
Nikamwambia.... natamani akiondoka asirudi tena, hapo atakua amenisaidia sana...š
Tutamfatilia.!Alafu Shemej Mkali naomba umwambie Miss Halima atuambie ID yake ya zamani ni ipi.
kaandika kwa kujiamini sana.
Hii sio ID ya kuwa na wiki 2 JF.
Umezungumza ukweli mtupu dada mzuri.Naandika bila code, inayemhusu akisoma kama yupo jf atanijuaš
Kuna watu sogea tukae walikua wanagombana, siku hiyo nilikua nimeenda kuwasalimia.
Mwanamke akamwambia mwanaume usinibabaishe kuna daktari bingwa ananitaka kila siku, namkatalia kisa wewe
Mwanaume akamwambia kwa hasira nipe namba yake
Mwanamke akaona kamuumiza mwanaume kihisia kawin! Bibie kwa mbwembwe akamjibu nikupe ili iweje
Mwanaume akamaliza kibabe Nimpigie ili aje kukuchukua, anipunguzie mzigo.
Nilicheka sana.