Jinsi ya kumtengenezea mwanaume hofu ya kukupoteza

Type ya wanawake kama hao ambao ni wapo wachache mnoo,wengi wameolewa ila huku nje unawatafuta kwa tochi. Kitu kinawafanya wakose hivyo vitu vitatu ni tamaa na kushindwa kujitambua.
 
Hizi habari huwa mnazitoa wapi yaani unioneshe eti wewe wa thamani kuna wanaume wengine wanakutaka wakati nimekuoa? Hizo hoja zako ni za watoto wa chuo
 
Tunaogopa Kugawana vitu msivyovujia jasho.
Vingine hatuogopi.
Analiwa mtu na Ebola yake tuogope nini tena ?
 
Sijasoma ila kichwa cha habari kimenichekesha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Naweza kukubali kwa asilimia 30 point ya 2 na 3. Lakini moja unajichimbia kaburi lako mwenyewe.
 
Umeandika upuuzi mtupu.yaani unioneshe wanaume wanaokutaka.Ungekuwa mke wangu ukinionesha huo ujinga nakupiga fimbo na makofi then nakwambia wafuate hao wapuuzi wenzako.
 
Hiyo namba 1, chap tunapotezana,kwanza hizo ni dharau
 

Ukija na hiyo namba moja kwangu nakupa gudubai. Yaani unitishie kwamba kuna wengine huko nje wanaokutaka. Hujui akili yangu, nakufungulia mlango haraka sana. Mimi mwanamke asije akajaribu kunitishia kuniacha, atakuwa kanirahisishia kazi
 
Mbona hujaweka jinsi unavotoa ******
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…