Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

Jamaa anaongelea zama za Ngoswe 😂 wakati sikuhizi ni mikwara ya noti tu.

Watajuaje sasa kama una hela mkuu? Utakuwa unatembea na mfuko wa hela au bank receipt?

Mikoani wanamjua mtu mwenye hela kwa kuangalia vigezo vingi.

Kwa mfano usukumani huko mwanza Shinyanga Tabora na Simiyu ukiwa mnene tu na kitambi wanajua una hela.

Wengi pia wana angalia mavazi.

Kuvaa mavazi fulani yanayo onyesha kama mavazi ya gharama plus crazy colours unapeleka ujumbe kwamba u love yourself and u have some money to spend.

Crazy colours kwa sababu watu wa mikoani wapo so much obsessed with crazy colours . So be like ur audience to attract ur audience. Mfano wa mavazi hayo ni kama kwenye picha niliyo i attach
 

Attachments

  • Screenshot_20231225-070817.png
    Screenshot_20231225-070817.png
    287.7 KB · Views: 3
Jamaa anaongelea zama za Ngoswe 😂 wakati sikuhizi ni mikwara ya noti tu.
Nyie endeleeni kusema naongelea zama za ngoswe wakati mwenzenu nakula papuchi zinazo bana kwa kutumia mbinu hizo hizo mnazo ziita za zama za ngoswe
 
Sisi ndio watu wa kwanza kustaarabika ndio maana hakuna mauaji mara fulani kamchoma fulani visu,mara biashara za dhulma huku hazipo ndio maana marehemu kweka alijikuta ni yeye pekeyake mwenye michezo hiyo hapa mjini na watu wakamsusa
sawa mkuu, hata mm tangia mwanzo nimekuambia nyie ndo watu wa kwanza kustaarabika na kuwa wajanja, sijui hapa unakazia nililosema? hata sijui.
 
Nyie endeleeni kusema naongelea zama za ngoswe wakati mwenzenu nakula papuchi zinazo bana kwa kutumia mbinu hizo hizo mnazo ziita za zama za ngoswe
Sawa kabisa mkuu kila mtu na mbinu yake inayofanya kazi
 
Watajuaje sasa kama una hela mkuu? Utakuwa unatembea na mfuko wa hela au bank receipt?

Mikoani wanamjua mtu mwenye hela kwa kuangalia vigezo vingi.

Kwa mfano usukumani huko mwanza Shinyanga Tabora na Simiyu ukiwa mnene tu na kitambi wanajua una hela.

Wengi pia wana angalia mavazi.

Kuvaa mavazi fulani yanayo onyesha kama mavazi ya gharama plus crazy colours unapeleka ujumbe kwamba u love yourself and u have some money to spend.

Crazy colours kwa sababu watu wa mikoani wapo so much obsessed with crazy colours . So be like ur audience to attract ur audience. Mfano wa mavazi hayo ni kama kwenye picha niliyo i attach
Hela huna haja ya kubeba reciept ni jinsi ambavyo upo composed tu na kujiamini. Ukiwa na hela ile attitude ya kubembeleza huwa inakuwa haipo but command lines zenye ujazo ndio huchukua nafasi. Kauli za mamlaka ambapo ukitikiswa kidogo chechi za backup zipo watu wanajua you mean business.
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Hela huna haja ya kubeba reciept ni jinsi ambavyo upo composed tu na kujiamini. Ukiwa na hela ile attitude ya kubembeleza huwa inakuwa haipo but command lines zenye ujazo ndio huchukua nafasi. Kauli za mamlaka ambapo ukitikiswa kidogo chechi za backup zipo watu wanajua you mean business.
Huyo mwanamke utakutana nae wapi?
 
Mademu wanene siwataki wana " nongo" ( alama za weusi katikati ya mapaja)

Wabibi siwataki nataka vigoli ( 18 -22)

Na nikiwa katika nchi ambazo age of consent inaanzia 14 au 15 basi hata huyo wa miaka 19 kwangu atakuwa lishangazi.


Angola age of consent ni miaka 12 mzee.

Philippines ni miaka 12 pia ila majuzi wamepandisha hadi 16 lakini kuna kesi ipo mahakamani watu wamepinga huo ujinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mikoa ni wahuni wamejanjaruka sikuhizi, wakishajua we mgeni kutoka mjini utawekewa mtego wa uongo na kweli (mke wa mtu/mwanafunzi) ulengeshwe uingie kingi wakufumanie wakupige pesa. Kuna uzi humu kuhusu hiyo tahadhari.

Bro tuendelee kutoa elimu kwa hawa vijana. Wenyewe wanafanya mambo bila kuwa na tahadhari au hata umakini. Ona sasa wanachofundishana, ni ujinga tu. Watu tumeona wakipata madhara kwa kuparamia wanawake wasio wajua. Isitoshe kwa sasa maambukizi ya ukimwi yako katika viwango vya juu sana. Sababu ni kuwa hawa vijana hawachukui tahadhari, pia wizara iko kimya tu. Hakuna kupiga kampeni dhidi ya ukimwi au matangazo ya namna ya kujikinga. Ni shida sana. Tukiwa na dependent wengi wa dawa ni changamoto. Siku ugavi wa dawa ukisimama. Kutakuwa na madhara makubwa sana. Maana ikumbukwe Tanzania 🇹🇿 hakuna viwanda vya ARV. Hata Afrika tuna viwanda visivyozidi vitatu. Na vyote vinazalisha under licence.
 
Mchawi pesa tu....
Hata kama mshamba wa mkoani aje town, MCHAWI PESA TU.
MTU MWENYE PESA KUNAJINSI ANANUKIA
MTU MWENYE PESA ATA AKAVAA MAGAGULA ANAONEKANA TU ANA PESA.

Everyday struggle - Notorious B.I.G ft Frank Sinatra
 
We mwenyewe umezaliwa mwaka 93 mkuu hujui what was going on in the 90s.

But u know what? Baadhi ya maeneo hapa Tanzania bado wapo miaka ya 80 na 90 kiakili na kifikra.
mm babu yako eti ...

-Hapana siyo kwa kizazi hiki siku hizi hadi wamasai tuliozoea kwamba wanaishi na wanyama, wapo huku mjini wakipiga umachinga wa yebo yebo za kichina wanadai i "Ngosi ojino"
 
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."


Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇

1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza.


2. Ina fanya kazi zaidi kwenye majiji makubwa kama vile Dsm, Mwanza, Arusha etc lakini sio kwenye mikoa midogo midogo.

Huku njia hiyo haifai unless otherwise uwe unatafuta malaya au milupo au uwe unakula mabaamedi so that uende ukazungushe bar ili ku mu impress halafu usubirie hadi saa sita bar ikifungwa uondoke nae magetoni.

Mimi NAMZUNGUMZIA msichana ambae ni msichana. Mdada fulani hivi age somewhere 20 to 23 or something , kamaliza shule miaka kadhaa iliyopita yupo anaishi kwa wazazi wake au kwa walezi wake au hata kama kapanga. Anaweza kuwa na mishe zake anafanya au kitu kama hicho. Huyu ndio ninae mzungumzia.


Unafanyaje ili kumpata na umpate kwa haraka?

Zipo njia nyingi za kumtongoza mwanamke ambae si malaya na kumpata kwa haraka zaidi. Nyingi kati ya hizo amezielezea mtaalamu Cassanova.


Mimi zangu ambazo nime zi experience ni pamoja na 👇

Muonekano wa mavazi yako: ( Roga/Loga: kuroga maana yake ni kupendeza sana ) Pendeza sana mkuu. Hakikisha kwenye mavazi yako hasa mashati au T.Shirt vaa nguo ambazo ni special sio mtumba na pia ziwe crazy colours.

Crazy colours zitakufanya uwe so much visible from her point of observation na nguo special zitakufanya u stand out of the crowd mambo ambayo yata add your value to them.

Mavazi mazuri na yenye thamani yatakutengenezea a " celebrity aura" jambo ambalo litakurahisishia sana wakati wa kumtongoza. Kwa sababu she will start treating u as a celebrity of which u will be required to treat her as a fan. At the end of the day unaweza ukajiuliza hivi Mimi ndo namtongoza au yeye ndo ananitongoza..

Ukivaa ukipendeza ukanukia vizuri maneno yako yanaweza kuwa na nguvu kama maneno ya mtu aliye nyoosha bastola kwa muhanga wake. Muhanga hutii kila neno.

Mwaka 2017 niliwahi kung'oa demu kigali ofclurse ilikuwa ni club siku hiyo wanachuo walikuwa na kitu kama bash hivi or something. Demu mmoja wa kinyarwanda ( muhutu) alimuacha jamaa yake akanifuata Mimi. Only kwa sababu nilikuwa nimeroga sana siku hiyo.

Baadhi ya miji hapa Tz ukivaa ukapendeza unakuwa kama mwanaume alie tahiriwa anae ishi katika jamii ya wanaume wasio tahiriwa. Unakuwa unique wanawake wote watataka kuja kwako kwa sababu unakuwa wa tofauti na wanaume wote.

2. Be real. Apart from bling bling please don't fake anything else. Be the real you. Your realness is your uniqueness and it is a part of seduction.

# kusini kuchele
Wewe huwezi ishi nchi ya magovi kama Ukuryani, Uhayani, Ujaluoni na Unyakyusani maana utaonewa wivu mno kwa kuwa umetaahiriwa na kina mama kukugombania kama lulu.
 
Back
Top Bottom