Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Nimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
Acha wanga (carbohydrates) na vitu vyote vya sukari. Wali, ugali, ngano na jamii yake ni hatari. Achana na bia na vinywaji vifananavyo.
 
Nipe namba ya simu ya mkeo,ukijua nambanjua mkeo ndani ya siku3 utabakiwa na kilo 3
 
...nilijua tu!
..sasa kama wewe ushanunua na kimekusaidia kwanini usimsaidie tu bure mpaka na yeye akanunue?
Ulijua tuu nini?

Kwahiyo hiyo 30000 inakuuma wewe?

Nilivompa hizo directions za kuonana na Dr unaona sijamsaidia?

Wewe kumsaidia unakuelewa Vp kwa mfano?

Unadhani MTU Mpaka ameandika kitabu hakuona umuhimu wa kuandika kakipeperushi tu? Ama kasiredi jamii forums[emoji4] ?
"Siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali,"
 
Nimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
Njoo PM nipe na email yako tuyajenge
 
Sayansi ya chakula na virutubisho vyake mwilini,

1-Wanga, inapatitaka kwenye vyakula vyote vikuu(nafaka,mizizi,ndizi, ,etc)

2-Protein, jamii zote za maharage, nyama

3-Madini, chumvi, dagaa,samaka, chokaa, maji,

4-Mafuta, jamii zote za karanga,nyama

5-Vitamin, matunda,mboga za majani

6-Maji, maji

Ukitaka kupunguza uzito usile #1, kazi yake mwilini huwa ni kuleta nguvu, ziada yote hufadhiwa kama mafuta(vitambi,makalia,maunene uzembe yote)
 
...kwi kwi kwi kwi...unajitia uchizi usiokuwa nao,sio?
..kwani kaomba directions za kumuona dokta ama kaomba asaidiwe dawa yoyote;artificial/natural?
.swali la msingi linabaki palepale:kama wewe umenunua na kimekusaidia kwanini usimsaidie tu bure mpaka na yeye akanunue?
....,'nzi' wewe wa wapi?
 
Mfatilie dr boaz mkumbo MD facebook utapata ufumbuzi wa tatizo lako na utapungua bila kujinyima kula wala kufanya mazoezi yeye anapiga sana vita vyakula vya wanga na sukari
 
Acha uboya ww uyo dr atoi dawa wala mitishamba na icho kitabu kina maelekezo ya vyakula vya kula na jinsi ya upikaji wake, sasa ampe kitabu yeye atapata wapi mwongozo kwenye pumbu zako au?
 
...hapana

...hilo tatizo halihitaji dawa,linahitaji Muongozo maalumu wa ulaji wa Chakula.

...kwa hapa tayari nimemsaidia BURE,
Au ulitaka nikopi kitabu chote niweke hapa,
.
Halafu kama wewe unapenda vya bure,Leta sahani basi upakuliwe,siyo unajichekesha chekesha hapa,

Usiwe tajiri kichwa,ile ni afya,inawataalam wake Mimi kuingilia taaluma ya MTU, nijivike ujuaji Ntakuwa namkosea,mwenzio alijipinda Mpaka akaandika kitabu,siyo Kazi rahisi kam unavyofikiria,usichanganye majibu ya multiple choice na taaluma za watu,

Labda kama hana hela ya kitabu inaweza kuazima na akajisomea kwa utulivu,kuna shida gani?

Narudia tena;-

"Siku nzi akiacha ujinga,atatengeneza asali"
 
...teh hee hee...jf unaitumia bure,unafanya promo kwa mwanaume mwenzio bure;
..yumkini ushapakuliwa sana wewe urojo!
 
Usile chakula chochote kizito baada ya 1900hrs.

Usiku kula matunda pekee.

Usinywe bia (kama unakunywa)

Kunywa maji lita 3-5 kwa siku

Nenda gym at least mara 3 kwa wiki. (eg. monday, wednesday, friday)

Tumia whey protein Supplements (napendekeza optimum nutrition gold whey, muhimu sana) utumie one scoop per day (asubuhi) hii itasaidia kujenga misuli yako. Misuli mikubwa huchoma mafuta kwa kasi zaidi.

Acha/punguza kula nyama nyekundu (ng'ombe, mbuzi, kitimoto) ule zaidi white meat (kuku, samaki)

Achana kabisa na soda. Tumia Yoghurt instead.

Mwisho kabisa, kama ukifanya kila kitu kama nilivyokuelekeza, utahitaji at least wiki 12 ili uone matokeo katika mwili wako.

Mazoezi ni wito. Jitume, jitese. Utapungua vizuri bila kuathiri afya yako.
 
Shida inaanzia hapo, jamani kukimbia pekee haiwezi kupunguza uzito Bali unahitaji mchanganyiko wa mazoezi hasa ya tumbo ambako uzito unaanza kuongezeka huko. Inavyoonekana mtoa uzi nae tafsiri yake ya mazoezi I hiyo ya kujogg Ubungo Kibaha jambo ambalo pekee haliwezi kupunguza mwili/kitambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…