BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mount Kilimanjaro....
Asante kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mount Kilimanjaro....
Acha wanga (carbohydrates) na vitu vyote vya sukari. Wali, ugali, ngano na jamii yake ni hatari. Achana na bia na vinywaji vifananavyo.Nimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
...nilijua tu!Mm nilikinunua kwa 30,000 tu,ila sijutii
Ulijua tuu nini?...nilijua tu!
..sasa kama wewe ushanunua na kimekusaidia kwanini usimsaidie tu bure mpaka na yeye akanunue?
Njoo PM nipe na email yako tuyajengeNimepunguza sana kula, but holaa uzito bado ni mkubwa
Ninafanyafanya mazoezi pia but still hola. Nina waswas naweza kuja kupata overweight related problems kama BP, kisukari! Nahitaji dawa yoyote whether artificial au natural
Sayansi ya chakula na virutubisho vyake mwilini,Naimani utaleta mrejesho hapa in few days,Hiyo ni mipangilio ya vyakula vyako ndo vinasababisha hayo,pia kwa mujibu wa kitabu chake kasema watu wenye matumizi makubwa ya wanga wanashambuliwa na ugumba,kisukari,ngozi isiovutia,uchovu kila wakati,
Haamini kama mazoezi na kujinyima ndio njia ya kutatua matatizo hayo,
Kiufupi amepindua sana mtizamo wa watu wengi Kwene suala la magonjwa haya yasiyoambukiza. Mm nilikinunua kwa 30,000 tu,ila sijutii
Yaan nmecheka balaa,we jamaa hufai hata kidogo unataka mwenzetu afeChukua mkopo benki, nunua gari bovu, oa mwanamke mcharuko, fanya kazi chini ya boss mkali. Ndani ya mwezi kitambi kwishney.
we! acha balaa! magodoro yetu bado tunayatakaKula mbilimbi acha ubwabwa.
...kwi kwi kwi kwi...unajitia uchizi usiokuwa nao,sio?Ulijua tuu nini?
Kwahiyo hiyo 30000 inakuuma wewe?
Nilivompa hizo directions za kuonana na Dr unaona sijamsaidia?
Wewe kumsaidia unakuelewa Vp kwa mfano?
Unadhani MTU Mpaka ameandika kitabu hakuona umuhimu wa kuandika kakipeperushi tu? Ama kasiredi jamii forums[emoji4] ?
"Siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali,"
Acha uboya ww uyo dr atoi dawa wala mitishamba na icho kitabu kina maelekezo ya vyakula vya kula na jinsi ya upikaji wake, sasa ampe kitabu yeye atapata wapi mwongozo kwenye pumbu zako au?...kwi kwi kwi kwi...unajitia uchizi usiokuwa nao,sio?
..kwani kaomba directions za kumuona dokta ama kaomba asaidiwe dawa yoyote;artificial/natural?
.swali la msingi linabaki palepale:kama wewe umenunua na kimekusaidia kwanini usimsaidie tu bure mpaka na yeye akanunuet?
....,'nzi' wewe wa wapi?
...hapana...kwi kwi kwi kwi...unajitia uchizi usiokuwa nao,sio?
..kwani kaomba directions za kumuona dokta ama kaomba asaidiwe dawa yoyote;artificial/natural?
.swali la msingi linabaki palepale:kama wewe umenunua na kimekusaidia kwanini usimsaidie tu bure mpaka na yeye akanunue?
....,'nzi' wewe wa wapi?
...teh hee hee...jf unaitumia bure,unafanya promo kwa mwanaume mwenzio bure;...hapana
...hilo tatizo halihitaji dawa,linahitaji Muongozo maalumu wa ulaji wa Chakula.
...kwa hapa tayari nimemsaidia BURE,
Au ulitaka nikopi kitabu chote niweke hapa,
.
Halafu kama wewe unapenda vya bure,Leta sahani basi upakuliwe,siyo unajichekesha chekesha hapa,
Usiwe tajiri kichwa,ile ni afya,inawataalam wake Mimi kuingilia taaluma ya MTU, nijivike ujuaji Ntakuwa namkosea,mwenzio alijipinda Mpaka akaandika kitabu,siyo Kazi rahisi kam unavyofikiria,usichanganye majibu ya multiple choice na taaluma za watu,
Labda kama hana hela ya kitabu inaweza kuazima na akajisomea kwa utulivu,kuna shida gani?
Narudia tena;-
"Siku nzi akiacha ujinga,atatengeneza asali"
Imekuingia eeenh!?naona unachekelea chekelea [emoji41]....teh hee hee...jf unaitumia bure,unafanya promo kwa mwanaume mwenzio bure;
..yumkini ushapakuliwa sana wewe urojo!
Hatutaki ushoga humu JF,mja asili haachi asili...hahahahaha..pole sana basha mchokozi;
..mi sifirwi mkundu siku hizi bahati mbaya kwako!
Shida inaanzia hapo, jamani kukimbia pekee haiwezi kupunguza uzito Bali unahitaji mchanganyiko wa mazoezi hasa ya tumbo ambako uzito unaanza kuongezeka huko. Inavyoonekana mtoa uzi nae tafsiri yake ya mazoezi I hiyo ya kujogg Ubungo Kibaha jambo ambalo pekee haliwezi kupunguza mwili/kitambi.Fanya mazoezi (kukimbia kwa wiki angalau mara tatu, kimbia umbali fulani ndani ya muda fulani na hakikisha kila unapokimbia jaribu kuvunja rekodi yako), achana na michips chips, wanga nyingi nayo sio nzuri, maji usinywe ya baridi, ya vuguvugu yanatosha.
Asubuhi kunywa angalau glass moja ya maji vuguvugu ikiwezekana yakamulie ndimu hata mbili.
Etc!!