Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Gastric bypass.
Big boy wa neighbourhood before na after gastric bypass.




 
Mbona ushauri wako umeuacha hewani!? Si ungesema huduma hii inapatikana wapi!!? Na gharama zake je!!? Contacts etc
 
Unakula maparachichi majani mayai nyamachoma unaacha pombe mpaka pale utapofikia malengo yako then tizi kidogo...utakua lean faster sana
Hii ndo njia pekee yenye uhakika.... hizo zingne ni mbwembwe tuu hasa hizo massage, pia kibongobongo haiko feasible kabisa.
 


Hii ni ngumu sana kwa matumbo yetu ya kiafrika labda kwa ngozi nyeupe, ukitaka kuondoa kitambi/unene usiohitajika dawa ni kudeal na cause/kisababishi ambacho mara nyingi ni ulaji wa ovyo, ukifanikiwa kula chakula kulingana na ratio ya mwili wako basi hutaona unene kamwee.
 
Hii unafanyiwa na wife kabla hujalala na carbohydrate mwisho saa moja usiku.
 
Hizi ndiyo faida za kuoa, yanayoendelea chumbani ni mengi.
Ngoja nifunge ndoa na huyu Mama Mtoto kisha nione kama atakua tayari kunifanyia Full Body massage ( sio kwa ajili ya kupunguza kitambi lakini )

Pia ungeweka njia nzuri ya kunenepa na kuongeza uzito haraka ingependeza pia
 
Ngoja nifunge ndoa na huyu Mama Mtoto kisha nione kama atakua tayari kunifanyia Full Body massage ( sio kwa ajili ya kupunguza kitambi lakini )

Pia ungeweka njia nzuri ya kunenepa na kuongeza uzito haraka ingependeza pia
Mkuu ukiwa na hela na uwezo wa kula unachotaka unene utakuja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…