Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaanza lini dose Dada yangu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Haya jamani wenye mitumbo yetu mje Da sky huyo katuelezea namna ya kuyapunguza. Teh teh.
NdioKuumbeee eee.
Hahahaaa. Wala sijicheleweshi nadhani jumamosi.Unaanza lini dose Dada yangu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Gastric bypass.Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Mbona ushauri wako umeuacha hewani!? Si ungesema huduma hii inapatikana wapi!!? Na gharama zake je!!? Contacts etcTumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Hii ndo njia pekee yenye uhakika.... hizo zingne ni mbwembwe tuu hasa hizo massage, pia kibongobongo haiko feasible kabisa.Dawa ni uache kula gyakula vya wanga na ule Mara 2/1 kwa siku mtambi wote utapotea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa. Wala sijicheleweshi nadhani jumamosi.
😀😀😀😀 🙏🙏🙏[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri Dada yangu
Hii ndo njia pekee yenye uhakika.... hizo zingne ni mbwembwe tuu hasa hizo massage, pia kibongobongo haiko feasible kabisa.
Ufanyiwe na mkeo pia hurutubisha penziMbona ushauri wako umeuacha hewani!? Si ungesema huduma hii inapatikana wapi!!? Na gharama zake je!!? Contacts etc
Tumbo kubwa huwa linahifadhi mafuta tu. Tumbo linakera si kwa mwanamke wala mwanaume. Unanunua nguo ya gharama lakini ukiwa na tumbo nguo haipendezi maungoni.
Njia za kuondoa tumbo badala ya mazoezi na diet kuna gastric bypass operation ya kupunguza mfuko wa chakula tumboni.
Kuna kumeza baloon. Hili huvimba tumboni na matokeo yake huwezi kula chakula kingi.
Kufanyiwa operation ya kuondoa mafuta. Liposuction, mafuta yakishaondolewa plastic surgeon inabidi arekebishe ngozi I nayo hang.
Hii ninayoiongelea leo ni tummy massage. Unalala chali na kufanyiwa massage ya tumbo. Zoezi hili huchukua zaidi ya dakika 60. Massage hii huhitaji mchanganyiko wa mafuta ya Vaseline na olive.
Anaefanyiwa ajiandae kwa kuvaa pichu disposable au nappy. Baada ya dakika 60 hali ya haja kubwa hutokea ghafla.
Ukifanya kwa siku saba utaona matokeo.
Sio kila mtu ana mke mkuuUfanyiwe na mkeo pia hurutubisha penzi
Hii unafanyiwa na wife kabla hujalala na carbohydrate mwisho saa moja usiku.Hii ni ngumu sana kwa matumbo yetu ya kiafrika labda kwa ngozi nyeupe, ukitaka kuondoa kitambi/unene usiohitajika dawa ni kudeal na cause/kisababishi ambacho mara nyingi ni ulaji wa ovyo, ukifanikiwa kula chakula kulingana na ratio ya mwili wako basi hutaona unene kamwee.
Hizi ndiyo faida za kuoa, yanayoendelea chumbani ni mengi.Sio kila mtu ana mke mkuu
Ngoja nifunge ndoa na huyu Mama Mtoto kisha nione kama atakua tayari kunifanyia Full Body massage ( sio kwa ajili ya kupunguza kitambi lakini )Hizi ndiyo faida za kuoa, yanayoendelea chumbani ni mengi.
Unafanyiwa na nani?Nitajaribu hii siku nipunguze hili kitambi
Mkuu ukiwa na hela na uwezo wa kula unachotaka unene utakuja tuNgoja nifunge ndoa na huyu Mama Mtoto kisha nione kama atakua tayari kunifanyia Full Body massage ( sio kwa ajili ya kupunguza kitambi lakini )
Pia ungeweka njia nzuri ya kunenepa na kuongeza uzito haraka ingependeza pia