Nimeumia goti mkuu..nlikua na jog..saiv nashindwa nikijog natonesha gotiMazoezi tu sio mbadala
Mh...nshawai tumia semgogwe..niliharisha kiasi Kwamba. Nikaishiwa nguvu...tumbo linauma balaaaaFettylicious kiboko ya vitambi ndio njia pekee na ya haraka kwa tatizo lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lmfao
Situmii pombe kabisa mkuu... Nanyama hua nakula Mara mojamoja Sana... Kwetu Ni ma vegetarian..Punguza nyama choma na bia..........
Picha ya tumbo languWeka picha ili tujua tutakushauri
Situmii pombe kabisa Yaaani... Hata nyama choma Ni Mara Moja moja... Chakula changu main Ni wali harage mboga za majani...chai Andazi au chapati.Achana na nyama choma na bia za ofa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Full picturePicha ya tumbo langu
Duuh basi tibu goti,zaidi ya mazoezi na mpangilio wa kula sidhani kama kuna alternative nyingine....... Inawezekana ni mwili wa urithi pia usije jisumbua bureSitumii pombe kabisa mkuu... Nanyama hua nakula Mara mojamoja Sana... Kwetu Ni ma vegetarian..
Nikisema niuachie mwili wa urithi ntafika kg 130.. saiv na 84kgDuuh basi tibu goti,zaidi ya mazoezi na mpangilio wa kula sidhani kama kuna alternative nyingine....... Inawezekana ni mwili wa urithi pia usije jisumbua bure
Kuna kipindi ilisumbua.. nikawa nakunywa juisi ya ukwaju natengeneza mwenyewe.. nikawa sipati shidaUnaenda haja sawasawa?
Ok jitahidi kuji kamua sawasawa huwenda ni mlundikano wa kinyesi tuuh bibieKuna kipindi ilisumbua.. nikawa nakunywa juisi ya ukwaju natengeneza mwenyewe.. nikawa sipati shida
Mkuu...kinyesi hakiwezi kuwa kingi namna hiyo...hili tumbo lilianza kuwa kuubwa..baada ya kuandikiwa Dawa flani hivi hospital..nikawa NAPATA appetite yakula... Nliyoka kilo 64 Hadi 94.. saiv na 84..nataka nipunguze hizi 20..Ok jitahidi kuji kamua sawasawa huwenda ni mlundikano wa kinyesi tuuh bibie
Nikisema niuachie mwili wa urithi ntafika kg 130.. saiv na 84k
Piga mazoezi tuuh amna namna ruka kamba,kimbia punguza kula kunywa maji mengi two weeks utaona mabadiliko,,,alafu hii tabia yakushindilia dona usiku Kama mpasua mbao kisha unalala wacha mara moja[emoji23]Mkuu...kinyesi hakiwezi kuwa kingi namna hiyo...hili tumbo lilianza kuwa kuubwa..baada ya kuandikiwa Dawa flani hivi hospital..nikawa NAPATA appetite yakula... Nliyoka kilo 64 Hadi 94.. saiv na 84..nataka nipunguze hizi 20..
Nakosa kukiamini nikiwa na mahusinao
InterestingOk jitahidi kuji kamua sawasawa huwenda ni mlundikano wa kinyesi tuuh bibie